@abdul.machine8: Frank Ngailo mtanzania anayecheza kwenye klabu ya SAKARYA ya nchini Uturuki. Kwenye basi wakienda mazoezini. Vijana wenye Ulemavu fursa zipo lakini mnashidwa kuzichangamkia. Sauti Para Sc. Tunafundisha mpira wa miguu bure, lakini mnashidwa kufika mazoezini. mnakwama wapi? fighting for your life #Mguu_utaongea