Ambao mna umri mdogo mumshukuru mungu sana kulipata hilo somo mapema, bado mna umri wa kubadilika, wengne tulishakosea tyr
2026-06-29 19:40:38
84
David Mlelya :
duu!ndio maana mm sipendi mikusanyiko hua najiona nipo huru sana nikiwa mwenyewe
2026-06-29 10:47:17
71
kiboko :
Sawa broo ila nayo Mtu kupenda kujitenga sana mwnyew nayo imekaaje
2026-06-30 09:29:37
16
Gilbsony Kennel Club :
kaka this real shit
2026-06-29 08:44:43
10
rama kisaka :
watu wengine nikama baraka duniani mwanangu ww nibalaa unaona mbali sana
2026-06-28 19:59:00
24
nantaemba nusurupia :
wananionaga sipendi kushirikiana na watu🥺
2026-06-29 03:13:46
30
Ramus Ryego :
YAAP NI KWELI KABISA, SHUKRAN KWA KUSANUA WATU😊 good 👍
2026-08-07 05:28:22
5
Alaqsa Publishing :
Thanks I’m always protect my energy. Naendelea kujifunza mambo spiritual 🙏🏻
2026-06-29 21:52:55
6
sakinacollexion :
Mm hadi unikute kwenye mikusanyiko hovyo umefanya kazi. Energy yangu ni muhimu kuilinda
2026-06-29 21:06:45
20
CELI-BACY QUEEN 👸 ❣️ :
Na hawa waarabu wetu wakuenda every Friday bet mama wanakusanyika wote vipi?
2026-07-02 09:12:03
5
Baraka chitemo :
sahihi kaka👍💯
2026-06-28 19:58:37
6
tyner🤭 :
Me nimekuelewa 🥰
2026-07-03 03:15:09
6
Najaty ✨ :
asanteeee sana, 🙏 hii elimu ni adimu sana, 🙏🙏🙏elewa neno adimu 🙏🙏
2026-06-29 14:25:30
11
Holy_cakes_tz and more :
Yaan ndio maana nakubali rfk yngu yaan mm sipendi maeneo hayo wala kukaa na watu wengi au kukaa na watu ovyo nachoka naona nakuwa drained energy yangu kuna watu wanasema najitenga wala najikuta tu sipendi ayo mambo
2026-07-04 09:11:39
6
Amani Nsabi :
fact
2026-06-28 19:11:16
7
rj :
kaka najifunza kwako asante sana
2026-06-28 21:32:25
8
Wema Samwel :
n kweli kabsa ila sasa watu wachache ndo wanaelewa hii kitu
2026-06-28 19:30:34
6
Msomali Tz :
Acha na uko kote Dupa ata beach huo sipendi kua karb na yyte ilanikae mbalii niwe nawaona🥺🥺
2026-08-12 05:53:13
2
Scholar Peter :
nimekuelewa sana kaka
2026-08-08 15:37:12
1
arafa walii :
mimi nakuelewa
2026-07-19 19:42:20
1
mwaramisunna :
me nakuelewa sanaaaaaa!!!
2026-08-12 18:23:46
1
Kabamba Matunguri :
dupa nikweli kabisa
2026-08-11 05:22:33
1
pius denis :
kweli
2026-07-12 06:35:21
1
To see more videos from user @dupamdupange, please go to the Tikwm
homepage.