Unapohamia kwenye nyumba unapaswa ubadilishe kitasa yn tafuta sababu yeyote au kiharibu ili uweke kipya
2026-07-26 07:33:12
1
PINX OFFICIAL :
ubahili utakuponza kitasa 10,000/=Kodi 150,000/= Unasubiri mwenye nyumba
2026-06-29 09:23:35
30
SECOND FATHER :
nan mwingine anadaiwa songesha
2026-06-29 05:27:21
54
Shop with Suzane :
tujenge jmn 🥺 dah
2026-06-29 07:34:11
20
severa :
kwanza wanatuumiza ,haswa kwenye umeme,.unakuta mwingine yy anakaa na luku ndani.hela yaumeme umpe yeye,wakumbuke inamwisho
2026-07-24 09:10:29
2
JaziGracious :
Mungu atusaidie tujengee
2026-06-29 06:36:19
18
Sarah Sandraa :
mimi ningehamaaaa kabisaaa
2026-06-29 05:09:36
16
Leocardia🇹🇿 "" "🇾🇪🇾🇪 :
Mm ningehama kwakwel
2026-06-29 09:43:08
5
suspicious lady🥰 :
mzeee anajua siri zotee apooo wanaketaaa
2026-06-29 04:10:32
20
Mamkenda Collection Tz :
ndio maana najenga
2026-06-29 14:26:48
2
chapo :
😭😭 nimetoka kuibiwa juzi TV na redio na pasi ss kitakacho fuata ni ITV mm nimebadilisha kitasa, nitawanyoosha
2026-06-29 11:26:54
2
amai masunga :
landlord be good
2026-07-14 06:17:03
2
Masillago_🎨🧵💰 :
Si UHAME
2026-06-29 04:57:07
8
slim girl🍀❤️ :
Mwenye nyumba wangu mungu amuweke uwiii baba anailinda nyumba yake huyu nasafiri mwaka mzima sipo dar nikirudi nalipa kila kitu kipo sawa sema hio nyumba hama sio nzuri kwako 😌
2026-06-29 12:12:17
8
ibrahimfumbo :
na bado songesha wananitumia meseji😭😭
2026-06-29 06:50:26
3
Engineer by Nature :
kwanini umepeleka mambo ya nyumba yangu kwenye Media?
2026-06-29 11:30:56
1
keih Mwanah@1 :
18/18
2026-06-29 11:46:39
0
user3796618551346 :
nimelipa leo
2026-06-29 16:53:01
1
Zuu_outfit_tz :
Mimi mwenye nyumba wangu anafunguo yangu na ananisaidia maana kunamda nasahau funguo shop
2026-07-01 07:05:53
1
@rashcute🦋 :
Duh😭😭😭
2026-06-29 03:59:41
2
LBM home appliances :
c uame
2026-06-29 05:47:16
1
MIPAZO MEDIA TZ :
FULL VIDEO IPO YOUTUBE MIPAZO MEDIA🙏
2026-06-29 09:44:41
1
dalali smart kijana goba 🤘💪 :
pole sana
2026-06-29 07:32:31
1
chumaliy🫵🏼🫵🏼 :
we dad itakua kunakitu umemnyima so ivi ivi 🤗 ila pole sana
2026-06-29 12:38:55
1
To see more videos from user @mipazoartist_, please go to the Tikwm
homepage.