@kanikibrown: Nataka niwahikikishie Tanzania demokrasia ipo ya hali ya juu, Nchi kuonekana ina demokrasia sio kuruhusu maandamano tu ina mipaka yake. Hata nchi nyingine za nje sina uhakika kama huwa mnashuhudia maandamano na matusi kila mahala. Tutashindwa kujenga maandeleo mengine".- Hayati Magufuli alipokutana na viongozi wa dini kujadili masuala kadhaa na muelekeo wa nchi. Mzee alisema kwa kuwauliza kwenye hayo mataifa ya wenzetu uchaguzi ukiisha unaona siasa zinaendelea? 🤔. Msimamo huu pia aliwahi kuwa nao Hayati Benjamin Mkapa wakati huo CUF ya maalim Seif na Lipumba imezikamata siasa za Tanzania. #WEWENIFAMILIA Ripota wa Habari za Mikoani ✍ @kaniki_brown “Endelea kufuatilia #Ripotawahabarizamikoani kwa taarifa sahihi na za uhakika. KWA MATANGAZO YA BIASHARA NA HABARI Follow kwa updates zaidi. Kuwasiliana 📞 0622 732 287 #kanikibrown”