ukimsikiliza kwa hasira uwezi kumuelewa kaongea bonge la point 👏👏👏
2026-06-29 11:49:10
52
Perida :
Wanawake hata sisi wenyewe hatujui tunataka nini☺️
2026-06-29 20:50:42
14
huruma zero :
mahali bila hela hakuna
2026-06-29 02:58:37
10
j6 bro :
sic
2026-08-06 14:49:48
1
Elias paulo :
exactly really fact💯💯
2026-06-29 13:19:22
5
Nito Creative :
Ameongea point kubwa sana.
2026-06-29 05:32:24
8
Maliamu Lugalaba :
pesa sio kila kitu lakiniii lazima niwe nazooo
2026-08-07 12:21:31
1
chef Hyune♉️ :
mitandao yenyeww ndo na weww humo tunakusikiliza
2026-08-16 18:04:16
2
Janeangel :
kweli
2026-08-08 16:09:47
1
fey wa jay :
kaka huu ujumbe unanihusu maana sikua poa kabisa
2026-08-05 16:01:32
1
UJANI HERBALS :
FURAHA YA NDOA NI UJANIIIII TU ✅✅✅✅✅
2026-07-25 16:12:56
2
Wisdom :
Umeongea kitu nasema kila siku 😂😂
2026-06-29 12:40:32
8
Laurencia :
kweli kabisaaa tatizo ni moyo si ela kupenda unaingia mzima mzima
2026-06-29 16:16:25
7
Ressy💦 :
Me mwenyew pia ctk pesa ila ctk mwanaume mchoy wa pesa pia😂😂
2026-08-20 13:36:03
3
Denice Mangi :
same same to dangote
2026-06-29 05:12:27
5
SIGN OF THE ZODIAC :
mwingine ni Elon Musk
2026-07-20 03:10:52
1
SUCHA :
he got a strong point
2026-06-30 15:42:04
3
Ridhiwani Hamadi :
pole kaka itakuwa hela imeisha siyo mbaya kuweka ukuta mapema nawingine umetusaidia kujibanza kwenye ukuta wako 👏🧎
2026-07-15 18:30:08
1
Elisha Mwakipiti :
bill gates na Jeff Bezos kumbe ndie walie Vunja Ndoa,Yaani wanaume ndio walio Vunja Ndoa, kwahiyo Hela bado muhimu ili ufanye maamuzi,sio maisha yasumbue na mahusiano yasumbue
2026-07-23 07:33:25
1
Mariam Moha :
haya sasa
2026-06-29 12:23:49
3
chocolate🍫 😋 :
2026-06-29 13:15:08
4
Yusuphu Daniel :
point ya maana , saizi stori nzima tafuta ela
2026-06-29 12:14:57
4
Japheti Mwayole :
asante mkuu
2026-07-01 12:06:06
1
To see more videos from user @avopatips, please go to the Tikwm
homepage.