@agha_media: UMESIKIA STORY NYINGI ZA KUSISIMUA KUHUSU ZIWA IKIMBA ,ABA BUKOBA MULIMU? HII NI LAKE IKIMBA JE USHAWAHI FIKA HAPO? UNATAZAMA UKIWA WAPI?#bukobatanzania #creatorsearchinsights #weddingtiktok #BK #KAGERA
Aghamedia
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 19:16:05 GMT
Music
Download
Comments
Beby Allice :
tuli simliwa kuusu iyo ikimba daa niyakusisimua sana yni
2026-07-01 18:52:39
14
eng. kyoma :
Nikiwa kijikini kwetu mlomani naliona ziwa zima yaani. Nyakigando moja yaani. Nikisimama mlima wankwenda rulama au mikoni. 🥰🥰🥰
2026-07-02 13:27:44
7
Maya Joseph :
Izimbya kwa Bibi angu alinisimulia hii story 😁🙌🏽🤗Inasisimua sana sana 🥰
2026-07-03 11:16:24
4
Lipo wapi ziwa hilo naomba kujua pls
2026-07-04 09:42:42
2
Nelyson Isaya :
nimeogerea sana hapo
2026-07-01 09:11:38
3
kagemulo🎁🏅 :
Wa nyakigando ya katoro tujuane🥰
2026-07-02 17:58:15
5
adamu amdara :
naipenda sana hii nyimbo licha kinachosemwa sikijui
2026-07-02 02:19:49
7
Gabriel 167🚑 :
hapo kila siku napita 😁
2026-06-30 18:32:33
1
Asya :
Aba Izimbya 🥰🥰🥰
2026-07-02 18:18:52
4
jvanny :
me nimezaliwa BUKOBA bt ni first time kuskia ili ziwa 🥺
2026-07-05 12:42:38
2
azza :
me kwetu irango napajua Sana nawapenda sana
2026-07-03 11:14:59
2
Mery :
Wa njia ya ikimba like hapa🥰
2026-07-06 07:34:40
6
BEITOWN :
mimi nimeshafika nakuogerea nimeshaogerea ap ikimba
2026-07-03 13:50:09
1
Mbaruku Iburaim TZ :
wazeyaa
2026-07-04 06:48:19
1
bad^^^°°°%boy•••••tz :
karibu lubale
2026-07-04 08:14:06
1
Dalfer💜🤍 :
naomba anaejua historia ya hili ziwa anisimilie plz🤪
2026-07-13 17:52:52
0
zeynab :
ikimba itaakalo osige akandi story yake nzuri sana ya kusisimua
2026-07-01 18:50:17
6
FIRSTBORN CHOOSENONE290✍️ :
nashindwa kuelewa
2026-07-02 12:48:21
1
user7178672513861 :
Niko hapo Lake Ikimba kijiji Iggo-Lake view.Paradise.Karibuni sana uone Lake Ikimba.Pazuri mno. Usingoje kusimuliwa .🥰🥰😁😳
2026-07-01 14:15:56
5
achileusbenedicto@27 :
huo ni Mto
2026-07-02 10:58:55
0
Medard :
izimbyaaa
2026-07-02 17:53:02
1
Pretty pawania :
nice
2026-07-02 06:26:01
2
CHAT GPT :
Good area 👌
2026-07-01 11:48:46
2
Mrs od🥰🥰 :
oooh mashallh
2026-07-01 13:34:33
2
Justasamson :
kama daa
2026-07-01 22:08:27
2
To see more videos from user @agha_media, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.