@acidreflux1234: Acid reflux inavyotesa koo lako kimya kimya… Asidi kutoka tumboni inapopanda hadi kooni mara kwa mara, inaweza kulichoma na kuliwasha koo bila wewe kutambua. Watu wengi hudhani ni maambukizi ya koo, ilhali chanzo kinaweza kuwa ni acid reflux. Dalili zinazoweza kujitokeza ni pamoja na: • Maumivu au kuwasha koo yanayodumu. • Kukohoa kikavu mara kwa mara. • Sauti kuwa nzito au kupotea. • Kuhisi kuna kitu kimekwama kooni (globus sensation). • Kusafisha koo mara kwa mara. • Kumeza kwa usumbufu. Usipuuzie dalili hizi, hasa kama zinaendelea kwa wiki kadhaa au zinajirudia mara kwa mara. Uchunguzi na matibabu sahihi yanaweza kusaidia kuzuia madhara zaidi.#Tonsillitis #acidreflux #acidreflux #acidreflux #

HEALTHYCLINIC DR SIMON
HEALTHYCLINIC DR SIMON
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 20:02:23 GMT
92
10
0
1

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @acidreflux1234, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About