@rodifelix16: 🎬 Je, umewahi kujiuliza maisha ya wale waigizaji waliocheza kama Yesu yakoje sasa hivi? Baadhi walipata baraka, lakini wengine walipitia mambo mazito sana! Tazama video hii mwanzo hadi mwisho ujue walipo na wanachofanya sasa. 😱✨ #MitumeWaYesu #FilamuYaYesu #MaishaYaWaigizaji #Historia #BongoTikTok
Lord_FELICIAN🤴
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 20:09:47 GMT
Music
Download
Comments
lily official :
wangapi tulikua tunasubili yesu atajwe
2026-07-05 18:56:20
24
Lil_G :
Mwanangu Yuda Yupo Wapi😁😁
2026-08-12 23:21:38
4
juliusm :
filamu za Yesu zipo nyingi sema filamu inayoitwa Yesu wa Nazareth ya mwaka 1977.
2026-07-19 23:32:59
7
eagle and angles investment. :
zakayo?
2026-08-23 22:13:14
1
Estina :
je yuda
2026-07-04 20:52:00
1
Raymond Msimbe :
hizo movie ziko mbili ndugu
2026-06-29 19:45:10
5
Solomon :
sasa yuda
2026-06-30 14:57:54
2
nduguye yesu :
yuda
2026-06-29 22:51:04
1
user2815568800244issaaliy :
k
2026-08-24 17:55:36
0
BERINA 😍 :
yuda je
2026-07-10 21:18:25
1
Ladislaus Laurens :
we umejuaje
2026-07-08 21:18:30
0
user9974672944334 :
thanks 😊
2026-06-29 04:39:30
3
vei Trãdrãïñ :
nice
2026-07-01 16:32:16
2
JayP.Masuka💫 :
mnapenda kujiamulia mambo
2026-07-05 06:28:31
1
esaïe aksanti :
suite baba
2026-08-08 19:37:20
1
SKY Star :
Amen amen 🙏 🙌 👏 ❤️
2026-07-01 17:22:37
1
desire mukenge :
suite
2026-08-04 05:43:48
0
Lethicia Joseph :
aiseeeh 😳
2026-06-28 21:46:51
3
rasita mni boy :
kisakuigiza muvi zayesu
2026-08-15 20:52:36
0
yohanatito :
unanichekesha
2026-07-10 22:24:51
1
Angel martin :
next
2026-07-06 17:36:24
1
kharm bongonda :
je aliye cheza kama yesu mbna uja mielezeh
2026-06-29 20:34:20
1
khanjr :
yesu yupo wapi au ndio kapaa..?
2026-07-08 14:00:57
1
Lina Lamecky :
Huyo ambae bado yupo hai unauhakika bado yupo hai kweli
2026-06-29 19:40:45
0
To see more videos from user @rodifelix16, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.