@viorinfashion: GOLDEN GLOWBRIDESMAIDS 💎 More than friends, we are family 💕 💍 TUNAPAMBA SIKU YAKO YA KIPEKEE! 💐 Sisi ni kikundi cha ma-brighter chenye umoja, uzuri na upendo. Tupo hapa kuhakikisha harusi yako inakuwa ya kipekee na isiyosahaulika ✨ 👗 HUDUMA ZETU: ✔️ Kusindikiza bibi harusi kwa heshima na mvuto ✔️ Kuongeza uzuri na mpangilio wa harusi ✔️ Support ya karibu kwa bibi harusi muda wote ✔️ Kuleta furaha, umoja na vibe ya kipekee 💕
🙈viorin 💜 💫
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 20:38:45 GMT
Music
Download
Comments
Mbisa Jack's son 🇹🇿💯 :
2mebaki mimi na camera man🥰🥰🥰
2026-06-28 22:00:53
10
Aman Aman :
amen barikiwa saaana
2026-06-29 09:50:35
3
Nkonu Granddoughter :
napenda sana hii biti duh
2026-06-30 19:56:04
1
Jenipher perfumes :
Fresh mwanetu
2026-06-29 20:21:17
1
user4600743117118 :
jmn hii bite inaitwaje??
2026-06-29 16:06:28
0
alam clement :
Aminaaa
2026-06-29 16:34:08
1
Felesian mipango💯🙃 :
ayubu alikuwa anacheza au 😂😂😂😂🫴🙌
2026-06-29 20:25:42
1
SSM :
aameni....
2026-06-29 03:38:25
2
City girls :
bariadi apo
2026-06-29 21:44:51
0
Pendo lubua :
wooow
2026-06-28 21:18:00
1
erasto boaz :
nataka hii beat naipataje wapendwa?
2026-07-01 15:41:17
0
Regina dan :
m-barikiwe san wapendw🥰🥰🥰🥰
2026-06-29 12:36:55
0
coletha :
ya kwangu inafuata soon amen
2026-06-29 09:36:48
0
James & the General 💫 :
Inshallah
2026-06-29 02:47:20
0
Official 🦋neyda💞 :
waoooh 🥰🥰
2026-06-28 20:51:12
1
mimi :
hii biti naipenda sana
2026-06-30 18:53:16
2
PAUL JAMES :
ikawe heli kwenu
2026-06-30 15:13:16
1
Lollful :
nipe jina la biti nilitunzee siku sio nyingi sana
2026-06-29 10:33:09
1
losmy 082 :
mabatini sda hapa eeh
2026-06-28 21:01:37
0
user3616193536638 :
ndoa ilikuwa ya nani
2026-06-29 04:10:11
1
Veronica :
mambo yanaenda kubadirika kwangu MDA so mrefu Sema Amina kubwa
2026-06-29 10:07:17
1
emmy love 💕 :
mmpendeza❤️❤️❤️
2026-07-02 08:46:04
1
RSD@ 88 :
mubariki sana watoto wa baba
2026-07-03 08:15:23
1
To see more videos from user @viorinfashion, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.