@drchiwilejr: Leo nilipata mualiko wa kua Mgeni Rasmi kwenye mashindano ya Mazingira Cup yanayo fanyika kwenye wilaya ya Magharib “A” ambayo yanashirikisha timu 20 kutoka kwenye wilaya hiyo, Binafsi niwapongeze waandaaji wa mashindano hayo yenye lengo la kuikumbusha jamii juu ya utunzaji wa mazingira na kulinda amani ya nchi yetu

Dr Chiwile Jr
Dr Chiwile Jr
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 28 June 2026 20:59:20 GMT
132
24
1
0

Music

Download

Comments

hassansassy10
mo9inejr :
Big bro!💪🏽
2026-06-28 21:36:19
0
To see more videos from user @drchiwilejr, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About