@kelvinchescotech: 🔒 Umeshawahi kufikiria kufungua password ya PC yako kwa kutumia picha badala ya kuandika password kila mara? Katika video hii nakuonyesha njia mpya na rahisi ya kuweka Picture Password kwenye Windows. Ni salama, ya kipekee, na inaweza kukurahisishia kuingia kwenye kompyuta yako. 💬 Je, wewe ungependa kutumia picha au bado unaamini password ya kawaida? Andika maoni yako hapa chini na usisahau kufollow kwa tech tips zaidi! #Windows #PCTips #TechTips #ComputerHacks #Windows11