mie nishaiona kwa maelezo Yako
ukuje na season two sijui😂
2026-06-29 10:14:21
48
Arafa :
hapana kwakweli movie ya kihindi hata usemwe nzuri kias gani siangalii
2026-06-29 09:53:37
32
Princess fionna :
Ingekuwa yakizungu ingekuwa unyama sana
2026-06-29 07:50:06
13
Sharcka yummy :
nimeanza kuona uvivu ya movie za kihind sijui kwann 😅😅
2026-06-29 11:31:13
7
TANTAWISER :
Wabongo kwa uvivu wa kusoma move jina liko hapo lakini kwa comments sasa 😂😂😂
2026-06-29 13:18:40
4
cute njaile🥰 :
nitumie
2026-06-29 07:16:26
4
tumaah17 :
Wooow
2026-06-29 07:48:00
4
Grace Frank :
tunaipata wap hii?
2026-06-29 06:43:21
3
Oum layaly❤️ :
Kamiyaar ❤️Ayra😍
2026-06-29 08:38:48
2
Amairah Hussein :
unasauti nzuri dear uwe unamalizia wengine hatuna tv
2026-06-29 09:15:48
2
✨nayna🐯💫 :
Bac endelea mpaka mwisho tuckilize
2026-06-29 09:44:06
2
colly G :
nimepay attention,am a man lakn hii story ni nzuri
2026-06-29 15:20:30
2
balo_jr3 :
jina la movie 🍿
2026-06-29 09:57:09
2
user2664779140263 :
imetafsiriwa kiswahili?
2026-06-29 08:42:46
1
💞رحمة علي 🥰 :
jamni ni nzur mnooo ningeenda kuirusha lakini Mume wangu limotialonunua ni yadishi nasio antenna ko hairuhu kwenda settings wala kwenye video nachoka mm 🙁
2026-06-29 12:33:18
2
Rufaci bjn 🏁 :
Nitumiye
2026-06-29 11:42:07
2
Zera Mussa :
ipo you tube bonge moja la series nimeangalia yote kwa wasioelewa lugha settings subtitles ziwe za kiswahili utaelewa
2026-06-29 14:49:16
0
Official Prisca :
ombi langu kwann usiwe unatuadisia tu jaman
2026-06-29 09:11:30
1
said forogojr :
Picha za kihindi zote story ndo hzo hzo
2026-06-29 15:05:50
1
Maliha🦋🤎 :
iyo mdd Nd mm ap jmn
2026-06-29 15:11:55
1
UJANI HERBALS :
Iko netflix ???
2026-06-29 13:47:08
1
Eckram🤍 :
heb sku moja wape story ya hassin dirluba🥰
2026-06-29 13:07:54
1
myrah phone :
unajuwa kusimulis
2026-06-29 11:35:53
1
smile 🍒Mamu🍒 :
napenda za hivi hazija poa ni amsha amsha tu
2026-06-29 11:18:26
1
To see more videos from user @royal.momoh, please go to the Tikwm
homepage.