@mmengenyo.plus: Mlo rafiki wa asubuhi kwa mgonjwa wa acid reflux, choo kigumu, vidonda vya tumbo na matatizo katika afya ya mmeng’enyo wa chakula Mayai + uji + tunda #food #healthyfood #guthealth #healthy #healthylifestyle

MMENG'ENYO PLUS +255694863462
MMENG'ENYO PLUS +255694863462
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 06:28:42 GMT
12344
146
18
17

Music

Download

Comments

b.mtz6
Kisaka :
Mimi nimepona nashukuru Mungu
2026-07-05 09:14:18
0
janengereza
Jane :
asante sana dactari
2026-07-03 08:18:50
0
kamunya339
Kâmûñyâ :
Uji wa mchele ni Sawa?
2026-07-03 04:52:32
0
mbauwa8
mbauwa :
Mwenye vidonda tumbo acid mayai ni salama kula
2026-06-29 07:39:22
0
feriha.faisal
Feriha Faisal :
asante sana
2026-06-29 17:09:48
0
jacklineombogo7gmail.com
sheilaa@mboone :
na unaeza kula viazi tamu na nduma pamoja na maziwa
2026-07-10 05:49:37
0
user526211631707
user526211631707 :
kuna aliyesema ndizi mbivu si sawa je ni kweli
2026-07-07 11:16:48
0
yuzzobalo_tz
chufu wonder's (Yuzzo balole) :
mayai hayana shida kwamtuwenye acid reflux kwel😰
2026-06-29 19:49:15
0
jilbe97
jilbe :
mbona mimi nilikataswa ndizi
2026-07-11 11:04:08
0
To see more videos from user @mmengenyo.plus, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About