@alihsaantv: KUPENDA KIZAZI CHA MTUME(S.A.W) | SHEIKH SAID ALI HASSAN

Al Ihsaan Tv
Al Ihsaan Tv
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 29 June 2026 06:41:11 GMT
4398
475
26
108

Music

Download

Comments

li334929
Äli :
Mtume Muhammad (ﷺ) alisema: "Ninawaachieni vitu viwili vyenye uzito. Mkishikamana navyo, hamtapotea kamwe baada yangu: Kitabu cha Mwenyezi Mungu (Qur'an) na Ahlul Bayt wangu. Navyo havitatengana mpaka vinifikie kwenye Hodhi (Kawthar)." Rejea za Kisunni: Sahih Muslim – Kitabu cha Fadhila za Maswahaba, Hadithi ya Zayd ibn Arqam (Hadith 2408 katika baadhi ya namba). Jami' al-Tirmidhi – Hadithi Na. 3786. Musnad Ahmad – Musnad ya Zayd ibn Arqam (imepokewa kwa njia mbalimbali). Al-Mustadrak ala al-Sahihayn – Juzuu ya 3, uk. 109–110 (katika baadhi ya machapisho), ambapo Al-Hakim al-Naysaburi amesema isnadi yake ni sahihi kwa masharti ya Muslim ibn al-Hajjaj.
2026-06-29 17:52:20
5
nyika.platoon
mahmoud :
mashallah
2026-06-29 13:55:11
3
hassanakida976
AFRISKY DRONE SERVICES :
may Allah grant you more years
2026-06-29 17:40:49
6
abu.muntadhwar
Abu Muntadhwar :
Mashekhe wakubwa hawaijui hii Hadithi wafanya ushindani.shekhe nimeshkuru sana
2026-06-29 17:52:41
4
umiathman1
Aunty sweety :
MashaAllah
2026-06-29 07:42:20
4
swalehsasaru
swalehsasaru :
swadaqta
2026-06-29 12:22:51
3
arafathajjumrahservices
صراط الله على :
washatupoteza sana wake hatuwaskilizi tena ,wametudanganya sana na wanetuficha vitu vingi
2026-06-30 07:16:46
0
user6628006678469
Alhabeeb Noor :
اللهم صل وسلم وبارك على سيدنا محمد و على آله وصحبه اجمعين 💖💖💖💖💖
2026-06-29 17:01:12
1
raeightliston
Raeight Liston :
rasulullah anasema utamjua mumin kwakumpenda ali na utamjua mnafik kwa kumchukia ali
2026-06-29 18:39:34
1
mahad.soman
Mahat Somane :
اللهم صلى على محمد وآل محمد وعجل فرجهم
2026-06-29 15:02:55
1
swalehalhabshy005
🏝SWALEH~ALHABSHY^°0•0•5🏝 :
ALLAH AWAPE NGUVU NA TAQWA NA ISTIQAM AHLU BEYT RASULU LLAH
2026-06-30 06:13:48
0
nuuria
Nuurya :
maashaallah maashaallah tabaarakallah sheikh mungu akulipe jannatul Firdausi 🤲🤲
2026-06-29 18:01:39
0
saidisaid385
Saidi SaidOGETTA1999 :
shukran
2026-06-29 20:15:11
0
abdallahzeinbaabad
Tamula shoe⚓️ :
Barakallah
2026-06-29 19:08:24
0
kalusha224
kalusha :
Masha Allah
2026-06-29 19:06:07
0
user9751216517320
Scrat mlonia :
الله
2026-06-29 15:53:18
0
mapembe4
Mapembe :
shehe umetafuta vita na maadui wa mtume.
2026-06-29 14:42:27
6
li334929
Äli :
Mtume Muhammad (ﷺ) amesema: "Hakika mfano wa Ahlul Bayt wangu ni kama Safina ya Nabii Nuh. Atakayeipanda ataokoka, na atakayeiacha atazama (au ataangamia)." Rejea kutoka vitabu vya Kisunni Musnad Ahmad ibn Hanbal – Musnad Ahmad, Hadith 11130 (katika baadhi ya nakala, nambari inaweza kutofautiana). al-Mustadrak ala al-Sahihayn, Juz. 2, uk. 343. Al-Hakim amesema: "Hadithi hii ni sahihi kwa mujibu wa masharti ya Muslim," na Al-Dhahabi ameafikiana naye. al-Mu'jam al-Kabir cha Al-Tabarani. Majma' al-Zawa'id cha Nur al-Din al-Haythami, ambapo amesema wapokezi wake ni wa kuaminika.
2026-06-29 18:24:27
3
haifatymohar
💕Delam💞 :
yaani mtihani sanaa
2026-06-29 17:12:40
2
khalidilonka
Khalidi Lonka :
pigia mstari neno kizazi changu. Imam Ali, Imam Hasan. Imam Husein, Bi Fatuma alayha salamu.
2026-06-29 15:47:23
2
haifatymohar
💕Delam💞 :
waambie sheikh
2026-06-29 17:14:38
1
wa.hareh.mumba
Wa hareh Mumba :
ntafte please
2026-06-29 17:21:47
0
user2786954326142
khalfani Kisuna :
wanajulikana sana tunawajua sana na vikanzu vyao vifupi
2026-06-29 17:23:17
1
abu.alwy
khuzeir 39,500 :
mawahabi hawo nani karibu wote
2026-06-29 14:02:26
1
To see more videos from user @alihsaantv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About