@hubofwisdom.inc: MWANAUME MWENYE SIFA HIZI ❤️ USIMUACHE, WAMEBAKI WACHACHE SANA ~ Madam Leila Abubakar 💎Kuna tabia fulani ambazo mwanaume akizimiliki, anakuwa hazina ya thamani isiyo na kifani! Na kuna zile ambazo akizimiliki anarudi kuwa mvulana. Katika video hii, tunakumbushwa mambo muhimu yahusiyo mahusiano, mtazamo wa mwanamke kwa mwanaume... yule ambaye akipatikana, hapaswi kuachwa kamwe, unapaswa uweje. Tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794 kujiunga na group letu la WhatsApp 💬 Tunathamini maoni yako. Jiunge na mjadala na ushiriki nasi katika mitandao ya kijamii @hubofwisdom.inc au tembelea www.hubofwisdom.com/media .................................................................. Video Credits: Madam Leila Abubakar #Wanaume #Mahusiano #MadamLeilaAbubakar #SiriZaWanawake #LoveTips #MahusianoBora #Mahusiano #Ndoa #UshauriWaMahusiano #Saikolojia #thewisetz #wisdom #Tanzania #Kenya #Zanzibar #Congo #Rwanda #Upendo #WanawakeWenyeThamani #MwanaumeWaNdoto #NidhamuYaMahusiano #ThamaniYaMwanamke #Tanzania #Kenya #Uganda #Rwanda #Congo

hubofwisdom.inc
hubofwisdom.inc
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 17:00:00 GMT
82011
2782
34
765

Music

Download

Comments

batuli.muhidini
batuli muhidini :
aya sawa mdgo wangu simwachi shemeji yenu😄😄
2026-06-29 22:15:49
3
paul.samwel62
De, Paul :
sahihi sana dada angu ni kwel wanaume tunatafuta kwa shida sana kuliko wanawake...
2026-06-29 17:30:08
2
rpg7791
Rpg :
Hakika
2026-06-30 09:43:17
3
makalakiula98gmai
[email protected] :
wewe mama ni mwanamke wa familia ya mungu uko vizuri sana ubarkiwe sana 💯
2026-06-30 10:00:38
7
wakuyozo
wakuyozo :
Mungu mlinde mume wangu
2026-06-30 15:00:09
0
mwashingamariam
Marry's fashion :
MUNGU anitunzie mume wangu kila unachogusa kikafanikiwe mpenzi unapendwa na mimi mkeo 🙏🙏
2026-06-30 15:25:41
0
lyneh.54tz
Lyneh 54Tz 🇹🇿🇺🇬 :
Asante sana
2026-06-30 08:02:52
2
aishambaga1
aisha :
mungu endelea kumbarik yule kaka
2026-06-30 12:20:47
0
mwanjaaharuna
@SAMIRA AFFORDABLE COLLECTION :
nikweli kabisa dada
2026-06-30 08:02:50
1
asmaibrahim2026
Asmaibrahim :
Kwel dada 🥰
2026-06-30 10:40:36
1
triple_a166
Hilwaa :
Alhamdulillah for my husband 🥰🥰🥰
2026-06-30 14:21:46
0
jamila.wambui
Jamila Wambui :
ukweli
2026-06-29 20:19:10
2
mengi.kivi
Mengi Kivi :
hakika mommy
2026-06-30 11:41:11
0
wisdomwelb
Ellenvoice :
amen
2026-06-30 03:37:48
1
shobotomohammed1
Shoboto modi Tanga :
ni wachacje sanaaa
2026-06-30 11:18:53
0
officialkiba_jnr15
KIBAJNR15 :
Umeolewa 💗
2026-06-30 11:07:58
0
sylvaeddie4
silva nyux😎🔥 :
kabisa aiseee
2026-06-29 18:50:17
1
husnaqadue
husnaqadue :
hakika🔥🥰
2026-06-30 05:45:05
0
sika5312
sika :
Mbona mm siheshimiwi 😢
2026-06-30 16:21:08
0
alisayyid10
Ali sayyid :
fact
2026-06-30 08:26:27
0
khalifa.abdul28
Khalifa Abdul :
mashaallah
2026-06-30 09:22:48
2
asanwisye
asanwisye :
mbona unanichanganya
2026-06-30 09:59:53
1
wilson.silvester5
wilson silvester :
ndomana waka itwa HAWA
2026-06-29 21:52:58
2
officialtoshhytz
official toshhytz🇹🇿 :
muda mwengne mambo yenu Huwa yanawafany mkakos watu walio sas katk maisha.
2026-06-29 20:53:31
1
khadija.yusufu41
Khadija Yusufu :
kabiaa
2026-06-30 08:20:28
0
To see more videos from user @hubofwisdom.inc, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About