@mimiverified44: #creatorsearchinsights Fimbo Ya Mussa 28062026 #godisgood #pastortonykapola #mimiverified #fimboyaharuni

mimiverified44
mimiverified44
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 07:16:52 GMT
212271
9815
187
604

Music

Download

Comments

user919624948102
Nams :
plz full sermon
2026-06-30 07:24:40
3
binti_ya_kristo
binti_ya_kristo :
nmeelewa hivi Mungu alitaka harun amuamin Mussa ili aweze kutembea nae bila kusita🙏🥰🥰
2026-06-29 08:58:26
43
kingchefcharles
Coco garden5 :
Soma kutoka 10:13 usikalili .,,kutoka 17:5. 17:9 na fimbo ya Mungu ,soma hesabu 20:11 so tusikalili na pia kulikuwa hata na fimbo za hesabu 17;8 kulikuwa na fumbo 12 ikiwemo ha harumi so soma maandiko vizuri
2026-06-29 11:07:06
21
thearrow463
A. W. E. S. A. M. E 🔢 :
First, I respect pastor bacause, Kuna point ana put forward, BUT the rod originally was of MOSES for controlling Jethro's sheep, secondly, same Rod became God's Rod after God decided to use it against Pharaoh, thirdly, that same Rod also became Aaron's Rod after Moses handing it over to Aaron; and that's when Moses became "as God" (Exodus 7:1) to Aaron, and the Bible writer begins to call it "Aaron's rod" So, the staff God gave to Moses in Exodus 4 is the exact same one used by Aaron in Exodus 7. OK, but my pastor has a point 🫡 he's stressing on plis🥰
2026-06-30 19:51:33
3
bakharimakhari
Beka point :
fimbo ilikuwa ya Mussa.ila alimkabizi Haruni kama msaidizi wake. pastor Tony Leo umezingua mzee
2026-06-30 22:54:04
8
develladevellah
Devella Devellah :
Bring your point at home, but Fimbo ilikuwa ya Musa.
2026-07-01 10:17:35
2
devidamos618
mbezi :
fimbo ilikuwa ya Musa lakini Haruni aliitumia kwa amri ya Musa
2026-07-01 04:48:52
5
user5581849747499
Gatendeli :
fimbo ilikuwa ya Musa
2026-07-02 21:57:57
1
mgandamango
𝔹𝕦𝕤𝕙𝕄𝕒𝕟 :
WALUHYA HUWA NA ROHO CHAFU SANA
2026-06-30 11:04:00
5
ayagirwedieudonne3
Ayagirwe Dieudonne :
fimbo niya Musa pasta,
2026-07-15 18:35:34
1
ayan.dairies
Ayan.dairies :
Ndugu yangu, ukisoma Biblia kwa makini utaona kwamba hakuna sehemu inayojipinga kuhusu fimbo ya Musa na Haruni. Kinachotokea ni kwamba kuna matukio mawili tofauti. Kwanza, katika Kutoka 4:1–5, Mungu alikuwa akizungumza na Musa katika kichaka kilichokuwa kinawaka moto. Hapo Mungu alimwambia Musa: “Tupa fimbo yako chini.” Musa akaitupa, nayo ikageuka kuwa nyoka. Mungu akamwambia aushike mkiani, nao ukarudi kuwa fimbo. Hii ilikuwa ishara ya kumthibitishia Musa kwamba Mungu alikuwa amemtuma na kwamba angekuwa pamoja naye. Baadaye, Musa na Haruni walipokwenda kwa Farao, Mungu alitoa maagizo tofauti. Katika Kutoka 7:8–12, maandiko yanasema wazi kwamba Mungu alimwambia Musa: “Mwambie Haruni, twaa fimbo yako, uitupe mbele ya Farao, nayo itakuwa nyoka.” Haruni akafanya hivyo mbele ya Farao na watumishi wake, na fimbo yake ikageuka kuwa nyoka. Wachawi wa Misri nao walifanya vivyo hivyo, lakini nyoka wa Haruni akawameza nyoka zao. Hivyo, anayesema kwamba mbele ya Farao ni Haruni aliyerusha fimbo anasema kweli, kwa sababu hivyo ndivyo maandiko yanavyoeleza. Na anayesema Musa aliwahi kutupa fimbo ikageuka nyoka naye anasema kweli, lakini anazungumzia tukio tofauti lililotokea kabla ya kwenda kwa Farao. Kwa hiyo hakuna mgongano katika Biblia. Kuna matukio mawili yenye malengo tofauti. Tukio la kwanza lilikuwa la kumwandaa na kumhakikishia Musa kuhusu utume wake. Tukio la pili lilikuwa la kumwonyesha Farao nguvu na mamlaka ya Mungu kupitia ishara iliyofanywa na Haruni kwa maagizo ya Mungu yaliyopita kwa Musa. Ndiyo maana ni muhimu kusoma maandiko katika muktadha wake na kufuatilia mpangilio wa matukio, badala ya kuchanganya simulizi mbili tofauti. Biblia inaonyesha wazi kwamba Musa ndiye aliyepokea maagizo kutoka kwa Mungu, lakini katika baadhi ya matukio Haruni ndiye aliyefanya tendo la ishara kwa niaba ya Musa. Hivyo hakuna kupingana kwa maandiko, bali kuna mgawanyo wa majukumu kati ya Musa na Haruni.
2026-07-14 11:10:10
2
jackruto18
JACKRUTO :
amen
2026-06-30 17:36:37
2
paulo.kadigilu
Paulo Kadigilu :
umeniangusha Leo pastor wangu.
2026-07-10 12:29:55
2
tanganyikatechhub
Tanganyika Technohub :
Ni protoko za Kiungu Musa akuwa Kiongozi so ilikuwa nilazima Musa atoe maelekezo kwa Haruni, chakuzingatia zaidi Mungu aliongea nao wote wawili Haruni na Musa. Hivyo ilikuwa protoko ya utekelezaji wa Maagizo ya Mungu na hakuna baya lolote hapo, kimsingi Haruni asingeweza kufanya lolote bila maelekezo ya Musa na liko Sahihi kubaki hivyo angeenda Haruni mwenyewe alikuwa na mamlaka yakufanya chochote bila maelekezo. kingine fimbo ni mamlaka na wote wawili walikuwa na fimbo so Kiprotoko za Kiungu lazima fimbo ya Musa ibaki mkononi kama nafasi ya uongozi na mamlaka hivyo fimbo iliyobaki ilikuwa ya Haruni kutekeleza muujiza wa Mungu. Na alifanya kwa sababu ya Farao siyo Haruni kwakuwa Haruni aliishi kumjua Mungu siku zote.
2026-08-02 14:05:39
1
faraja.justin
THE CITY OF GILGAL :
uko sahii
2026-07-03 20:30:18
1
stevemwenda422
SM kaberia :
fire
2026-07-09 02:54:49
1
abely.alex.mwasan
Abely Alex mwasanguti Mwasangu :
Amina
2026-07-12 21:53:40
1
oscargarvey228
Garves :
Amen 🙏
2026-07-01 10:54:44
1
nasibu294
esperant :
pasta ubarikiwe
2026-06-30 12:20:46
2
jonas.kalihi
Jonas Kalihi :
ooooooooh
2026-07-01 05:50:58
1
rogeskasongo
rogeskasongo :
oui oui
2026-06-30 16:42:29
2
paul.m.mwanzia6
Paul m luck :
wewe unajifanya Sana
2026-07-02 04:39:35
1
elia55178
Elie :
Yes
2026-07-01 11:32:35
1
tubundamboko616
tubundamboko616 :
Amen
2026-06-30 06:21:56
3
nyongesadan1
nyongesadan :
that's true
2026-06-30 06:00:56
2
To see more videos from user @mimiverified44, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About