@kulwa2712: faida za mayai kwa mama mjazito 1. Husaidia ukuaji wa ubongo wa mtoto. 2. Hujenga na kurekebisha tishu za mwili. 3. Husaidia kuimarisha mifupa na meno. 4. Hupunguza hatari ya upungufu wa damu. 5. Hutoa nguvu na kusaidia kushiba kwa muda mrefu. #afyauzaziclinic#viral#usa🇺🇸#tiktok#videoreels

Afya uzazi clinic
Afya uzazi clinic
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 07:26:10 GMT
21084
374
17
43

Music

Download

Comments

queenchamp311
Queenchamp31 :
Ninvyoyatapikaaaa😂😂😂🥺
2026-06-29 12:58:05
0
shadiaally159
Shadia Ally :
mbona mm siyapendi mayai
2026-06-29 07:31:13
0
dawinawigs
DAWINA WIGS :
Jaman wanasema tutazaa watoto hawana nywele
2026-07-02 13:00:38
0
officiallymirym
iam_miry💋🦋 :
mayai ya kienyej au ata ya bloila yote yana faida
2026-06-29 15:44:58
1
prettygirltop1
prettygirltop1 :
Jaman mbona nilisikia mjamzito akila mayai ya kuchemsha mtoto anatoka na kiwaraza😔
2026-06-29 17:46:30
0
shadiaally159
Shadia Ally :
nisaidie bs kujua siku yangu ya kujifungua nimeona p yangu 6/2/ 2026 makadirio
2026-06-29 07:38:15
0
user63324029210355
Africa Hopoe💗 :
Mimi Mungu anilindie kijana mana ata likaangwe nikutapika yaani kosa kuliona ama alufu
2026-06-29 13:17:44
0
To see more videos from user @kulwa2712, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About