mimi stakii kisikia safari za usikuu..mtu anakung'ang'aniaa usikui utafikiri anakujuaa.kaja kunifuta kwenyee siti niliokaa na nikajigubika kikoii adi usonii😅😅 nikajifanya simjuii yanii..
2026-07-24 18:16:55
1
MERICKY :
satco
2026-07-15 09:17:55
1
LEYLA ❤❤❤ :
pia napendaa sana usku we achaa nikikumbuka nilikaa na mkaka alinikumbatia toka dare salama mbaka tunduma aiseee ABC wako vizur sana 😋😋😋😋😋😋
2026-08-12 18:42:28
1
micktoto❤️🔐 :
2024 nilipanda GOLDEN DEAR 🦭ya tunduma -Dar ya saa9 mchana naingia kwenye bus nakutana na wanaume tuuu oyaah nili freez kwanza konda akanambia ingia usiogope nikaenda kwenye seat nikapoa 😂😂😂😂 gari likatembeeeaaaaaaaa vuuuuuuuuuuuu😂 majira ya saa4 usiku wakatangaza aya kuchimba dawa porini hapo mwanamke peke yangu kumbuka gari zima limejaa madereva IT 😂😂😂 tukashuka wananiambia mdogo wetu usiogope njoo uchimbe huku 😂😂😂 ndo mbaba mmoja big hivi akatokea akasema njoo binti yangu chimba hapa ole wake mtu amsogelee😂😂😂 Mungu amtunze sana aiseeee
2026-07-26 19:04:44
1
sharifa jeans :
mpk siku mkutane na shumiletq🤣
2026-08-04 19:16:15
1
meshakhan :
mbepo bila shaka
2026-08-06 14:59:02
1
To see more videos from user @ramsey_dpz, please go to the Tikwm
homepage.