@muadhieljuneyd: Wengine wanakuvunja moyo, wanakuumiza kimya kimya, halafu mwisho wanashangaa kwa nini umebadilika. Wanataka uvumilie maumivu waliyokupa, lakini wanasahau kuwa hata moyo wenye subira unaweza kuchoka. tuendelee kuwa wavumilivu, lakini pia tujue wakati wa kujilinda.

@El Juneyd 🌷~💖
@El Juneyd 🌷~💖
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 09:14:27 GMT
5581
259
14
11

Music

Download

Comments

user112816843620
Beyb'sKashata :
Siku zote maumivu huyaona mlengwa. Wale watazamaji wanakuona umekosa subra
2026-06-29 16:04:04
2
jay.mzung
jay mzung :
kila kher uja kwa wakati wake
2026-06-29 14:43:06
1
faidha.juma4
faidha🧕 :
ukweli mchungu😭
2026-06-29 10:40:10
1
dahuucake
Dahuu cake :
Kabisa bro
2026-06-29 12:08:17
1
www.tikto.com.anwar
Muhammad anwar QDR :
dah 🥹
2026-06-30 15:27:23
0
b3ry4ly_10
🌴 b3ry4ly_10 🏝️ :
kisha wanasahau WEMA tuliowafanyia 😩💔
2026-07-04 17:05:48
1
madamme53
madamme53 :
💔😒
2026-07-09 20:43:49
0
To see more videos from user @muadhieljuneyd, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About