@tripbey: 🚗💛 Tripbey tumesambaa kila kona ya Dar es Salaam! Haijalishi upo wapi, usafiri wako upo karibu zaidi kuliko unavyofikiria. Chagua Tripbey kwa safari salama, za haraka na zenye uhakika. 📍 Popote ulipo, Tripbey ipo kwa ajili yako. #Tripbey #DarEsSalaam #SafariRahisi #TwendeNaTripbey