@khalifa.said4: utajuaje kama serikali imepoteza imani ya inaowaongoza? gerson msigwa, msemaji wa serikali, ana baadhi ya majibu. unauonaje uchambuzi wake? ๐ฅ: @izzy_pro_director
siku tukitoka hapa tulipo huyu jamaa atatakiwa kujibu vizur
2026-07-17 09:08:18
20
Fungluddy :
mwandishi deep sana
2026-06-29 14:23:35
24
user6511013958145 :
Hatuiamini kabisa
2026-06-29 20:46:07
11
user2939746952476 :
na hii ni aibu ya taifa
2026-06-29 19:24:39
16
Jackson Michael :
Mwandishi makini big up๐
2026-06-29 19:25:15
8
The code breaker :
Union La Republica De Mauzauza
2026-07-24 18:13:29
2
matthews_kings :
taka taka gerson inaongea
2026-06-30 08:53:22
6
kanju :
ila wanasiasa wakavu duh
2026-07-17 21:11:13
3
babu nyuki :
mwandishi uko vizur
2026-07-18 03:06:59
2
Gabriel :
mungu tusamehe
2026-07-17 20:49:17
2
omar_kwaya :
kumtetea Msigwa ni kazi kubwa jamni
2026-08-02 05:02:06
2
luice kilenga :
selikari ina ndimi nyingi haiwezi kuaminika kila Mtu anaongea lake
2026-08-02 19:50:17
1
mr.wise :
Ndio maana hatuelewani kama wao wanaona tunawaelewa.๐๐๐
2026-07-22 07:42:08
7
Chidy_turn_up :
hivi jamaa Alisha fungulia comments kwenye accounts zake?
2026-07-20 14:51:55
1
malilohamsini :
kipimo cha kujua kama serikali inaaminika
2026-07-01 11:24:34
1
durassa01 :
msemaji anatumia Linguistic trap kuonyesha magumu zaidi
2026-07-15 09:37:32
1
Lameck Mbele :
haari
2026-06-30 00:51:56
1
@fmy748 :
2026-06-30 04:40:13
2
MAXIMILIAN๐น๐ฟ :
๐Ila
2026-06-29 12:12:05
2
SleepLess :
The way he talks is the same we, make America great again, the government doesn't need to tell the constitute that it's doing so well. It can just show here is the list we have done and planing to do in the next 6 months
2026-07-24 14:36:42
1
Young moneY :
sema,; sisi watumishi wa serikali we vp
2026-06-29 16:51:24
2
lone jr :
hahaha asee jaman
2026-06-29 17:51:12
1
PRESIDENT OF TORENZA GONDWE :
hhhm
2026-06-29 11:27:38
0
To see more videos from user @khalifa.said4, please go to the Tikwm
homepage.