@hawaronaldo45: Bagia za kunde Ingredients; Kunde ilobaazwa Kotmil/Dania Kitunguu maji Kitunguu saum Pilipili Chumvi Baking powder #creatorsearchinsights #fyp #foryoupage #fyppppppppppppppppppppppp #foryou

hawaronaldo45
hawaronaldo45
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 10:28:41 GMT
60784
2730
65
126

Music

Download

Comments

albedayj
✨𝔍𝔞𝔪𝔦𝔩𝔩𝔞𝔥 🥀✨ :
Wallah video naiona kama siioni ,naskia hio khutba tu focus haipo kabisa kweny recipe
2026-06-29 11:10:29
47
nonoo9717
Ms~nono💞🌱 :
ALLAH Atujaaliee mwishoo mwemaa
2026-06-29 15:25:10
17
why.do.you.care.bruh
⃟ :
zangu haziivi ndani sielewi
2026-07-11 05:06:53
1
chaluschalu
chaluschalu :
Hamu ya kula imeondoka kwa mawaidha 😣
2026-06-29 12:50:20
11
shamsiyaabdallah1
user8477505390361 :
samahani dada Hawa maganda ya kunde unayabangua vipi hadi zinakuwa nyeupe??
2026-06-29 12:11:43
2
phider259
Fider🌸❤️🍂 :
uwe unaandika bac Kila ingredients
2026-06-29 17:31:45
1
auntididah002
Aunty dida1 :
usingezitia maji dada umeharibu zinakua kama kaymati
2026-07-09 01:33:06
1
dbltqz
❤️❤️ :
Mambo ya Live da hawa😁
2026-06-29 10:40:06
1
user3747781072392
isha😍 :
haya mawaidha wallah 😭😭😭 hta mapishi cjaelewa ,ya rabbi tujaalie mwisho mwema 🤲🤲
2026-07-01 18:09:49
2
cutie_de_girl
awena :
iyo mashine ya kusagia inauzwa beign
2026-06-29 17:55:40
0
_rynricesupply
Ryn Rice Supply :
Hi dada @hawaronaldo45 nauza mchele super kutoka mbeya kwa 3,400/= tu kwa 1kg. Nakufafanyia delivery bure kabisa karibu
2026-07-01 07:49:39
1
aishamwinyi21
Aisha mamy :
Ujumbe😔 Allah atupe mwish mwema🤲❤️
2026-06-29 13:30:36
0
azizarajab32
azizarajab32 :
unatoa vp maganda yak
2026-06-30 12:49:30
1
user9513105116927
user9513105116927mama yusayra :
mashallah 😋
2026-06-29 10:54:53
0
ummuamin01
Eshabukheth🥰🥰💖 :
SubhanALLAH 😭😭😭
2026-06-29 13:19:35
0
malkianuru2
Cute nuu😘 :
Wallah shekhe mazinge kanikumbusha kuswalii shukran
2026-07-01 18:36:59
0
dora.rajabu
Dora Rajabu :
subuhanna llah
2026-07-02 15:16:31
0
ruuhmaysamom
Ruuh momo :
me kwenye bagia hata sipo shekh ananiliza jaman
2026-07-21 15:19:44
0
islamic_phrase
lujaynah_mozzah💞💞 :
☺️🥰shukraan kipenz
2026-07-10 09:37:46
0
fi5fatma2
thushy :
mungu akufanyiye wepesi Inshallah yarrabi 🙏🏻
2026-07-24 15:04:15
0
sweetmami73
sweetmami :
Allah atufanyie wepesi 😢😢
2026-07-07 19:46:20
0
mars_art_of_cakes
mars_art_of_cakes :
Looks Yummy🥰Karibuni My Loves tuna darasa zuri la kupika na kupamba cake. Unapenda kujifunza biashara ya cake karibu sana tujifunze pamoja😊
2026-06-29 11:51:05
0
To see more videos from user @hawaronaldo45, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About