InshaAllah ALLAH akujalie mume mwema atakayekuwa sababu ya furaha utulivu na mafanikio yako duniani na akhera kumbuka kla jambo lina wakti wake na yale ambayo Allah amekuandikia hayatakupita hata sekunde moja usiogope wala uskate tamaa endelea kua na subira na imani mwenyezi mungu akufungulie milango ya kheri akulinde na kila shari akubariki akufungulie milango yote ya kheri akuondolee huzuni na akujaze furaha isiyo na mwisho aibariki familia yako awape afya njema amani upendo umoja riziki yenye baraka na maisha marefu yenye heri wwe pamoja na familia yako awajalie afya njema amani rizki yenye baraka na maisha yenye upendo hakika wakti wa Allah ndio wakati ulio bora zaidi