@citi_tools: Karibuni sana kwenye supermarket yetu ya hardware inapatikana kajenge road karibu kidogo na shule ya sekondari kijitonyama hii njia ambayo inatokea mataa ya sayansi tupo upande wa kushoto. Tunauza bidhaa zote za ufundi na ujenzi wa aina yote bei zetu ni kwa jumla na reja reja. Tupigie +255670333000 Bolt: CITI TOOLS MAKUMBUSHO