Mimi ni bingwa wa kuskiliza moyo ikifika swala la kuchagua nyumba✋🏽🤚🏽 nilishawahi pata nyumba nzuriiii sana ndani ya fence kaliiii 🙂↔️nyumba hii ilikuwa kushoto kuna nyingine kulia afu katikati kuna GHOROFA kaliiiii ila halikaliwi na mtu wala halipangishwi 😄😹 MOYO WANGU ukanambia tu USILIPIE hapa ✋🏽🤚🏽 japo nilikuwa na pesa mfuko wa shati na ni pakaliiiii sana
2026-07-04 08:00:28
0
Rechal Isaac :
pate 2
2026-07-02 11:16:06
0
Neymah🦋 :
Yani tandika ni uswahilin mno💔
2026-06-30 22:23:16
0
user7091499593126 :
Makelele ni mengi sana hapo ulipo tunashindwa hata kukuckiliza vzr
2026-07-03 12:16:28
0
Neema Manyenye :
🥰🥰🥰
2026-06-30 19:00:43
0
𝚖𝚊𝚒𝚢𝚊 𝚍𝚎 𝚋𝚘𝚜𝚜❤ :
@Miss deejah iyapo anza
2026-07-01 18:02:58
0
melania :
🥰🥰🥰
2026-06-29 11:49:02
2
discern gee :
🥰
2026-06-29 11:45:23
0
Maria Katembo :
🙆
2026-06-29 12:54:19
0
To see more videos from user @loveness_ngajiro, please go to the Tikwm
homepage.