@jukwaahuru: "Waziri Katambi amesimama ndani ya Bunge, ametoa maelekezo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP kwamba asitishe vibali, kuna vitu viwili hapo ambavyo watu waelewe, watu wanapaswa kuelewa mamlaka ya Waziri juu ya IGP na mamlaka ya Jeshi la Polisi kuhusu mikutano ya hadhara." "Mtu pekee kwenye nchi hii kwa mujibu wa Katiba ibara ya 33(1) anayeweza kuyaamrisha majeshi kulingana na Katiba ni Rais wa Nchi. Majeshi yanawajibikwa kwa Rais kuhusu amri za utekelezaji wa majukumu yao mbalimbali sasa Kama katiba inasema hivyo moja kwa moja unaona Katambi (Waziri wa mambo ya ndani) alikuwa anazungumza kitu ambacho hakijui na bahati mbaya kitu alichokiongea kinabaki kwenye kumbukumbu za bunge kwamba Waziri amempa amri IGP." "Katambi alikosea na kama anasema alikuwa sahihi atupe kifungu cha Katiba ama sheria iliyompa mamlaka ya kumuamrisha ama kumuagiza IGP. Hakuna pia sheria ambayo imelipa mamlaka Jeshi la polisi kutoa vibali vya mikutano ya hadhara kwa Vyama vya siasa."- Wakili Peter Madeleka, akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatatu Juni 29, 2026 #viralchallenge #viralreelschallenge #viralreels
Reaching the extent Rais aje kuingilia kazi ndani ya Wizara, basi happ Waziri atakuwa hatoshi. Sikosei Taaluma yake but Frankly speaking ni kwamba Modernity inakuwa applied kwenye leadership sio tu kustick na old laws, am not trying kusema kuwa uko outdated but hizo ni modern governments. Umetumia nguvu kubwa kusoma Uwakili but life changes, adapt to the new systems!
Nashkuru, ila maelekezo ni Sahihi, na vibali vipo hata kama sio katika context yenu ya Sheria, in real and field Practical sisi tunatumia na vibali vipo.
Ahsante,
✅️🇹🇿🐐GendaHeka!
2026-06-30 06:12:32
0
pj :
uyu nani kwani
2026-06-29 16:33:37
3
wizz khalifa :
jeshi ni moja tu
2026-06-30 09:47:59
0
abdallahchembo :
2026-06-30 08:24:32
1
To see more videos from user @jukwaahuru, please go to the Tikwm
homepage.