@acleysaladhouse1: #creatorsearchinsights 0657 141 701 📞 0635 238 836 📍 Dodoma, Tanzania Acley Salad House – Afya na Ladha Kwenye Kila Kipande. ✨#AcleySaladHouse #FreshFruits #HealthySalads #FruitPlatterTZ

ACLEY SALAD HOUSE
ACLEY SALAD HOUSE
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 11:51:17 GMT
86499
3512
199
181

Music

Download

Comments

user968696681684
janie :
jmn kuna watu wana vipaji aki🥰
2026-06-30 10:41:36
47
sesiliavenance782
Sesilia Venance :
bustani ya edeni ilikuwaga hivi
2026-06-30 17:35:54
3
joycemlaki7
[email protected] :
hongera bite
2026-06-30 15:19:51
1
anne27349
anne27349 :
Hii sasa ndio bustan ya eden🙌🙌🙌🙌
2026-06-30 14:46:50
2
anasiajumanne
rosemary :
nice
2026-06-30 17:23:30
1
mwasuiddy
mwasu 🌹🌹 :
sasa hi ndio gadeni ya eva😂😂
2026-06-30 16:28:11
4
sholaglady
sholaglady :
AMAZING 🥰🔥
2026-06-30 15:15:40
1
godrivertik
Godriver@Tik :
Hiki kipaji jamani mashaallah 🥰
2026-06-30 16:51:43
1
user5216251566023
angel❣️❣️ :
huyu dada kwel ni fundi wa mambo
2026-06-30 11:54:31
5
suzanfusi
TJ Classic smoothies 🍓🥝🍎🍒 :
❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️😞🙌🙌🙌🙌Jina la BWANA litukuzwee 🙌🙌🙌
2026-06-30 15:22:54
1
user6540385794673
👑👑 queen :
Kutoka hapo tunakula au maana mmh
2026-06-30 15:33:31
1
denic.lyimo
Denic Lyimo :
ubunifu ndo huuu
2026-06-30 16:43:29
1
9946_gloranthy
Gloranthy💦💟🩸 :
muuuuuh nyuki nyuki sasa
2026-06-30 16:03:53
1
dmtayoba
dmtayoba :
upo mbali ungenifundisha hii kazi naipenda sana
2026-06-30 17:49:28
0
tinnah919
Tinah❤️ :
Cjui nitaolewa lini ila mwaka wwt hii lazma ufanywe ukumbun
2026-06-30 11:19:37
0
16molivia
Esther👸👸 :
Hapa sichukuwi ushambaa hutaniruhusu maana 😀visije vikapolomoka nikaaibika😭😀nitataka orange nitake tikiti nitake vyote hapo🤣🤣🤣mweh
2026-06-30 12:53:53
1
tecla.sylvester
Tecla Sylvester :
hongera sana jamn Kaz nzur
2026-06-30 12:10:14
1
annieann172
annieann172 :
Salad ya kibabe🥰
2026-06-30 11:29:47
1
madammaria76
Madam Maria@ :
kazi nzuri Mungu azidi kukuinua
2026-06-30 12:28:30
1
shamylucky4
shamylucky😘 :
kumbe unaweza tengenezewa Eden yako hapa hapa kwa dunia🥰🥰🥰
2026-06-30 17:37:30
2
user4384870195947
faridas@og :
unapatikana wapi
2026-06-30 13:44:58
1
christinakimaro48
siangicha :
mimi naomba kazi jamn
2026-06-30 12:11:24
1
yunnyvibes
yunniy :
Sinialikwe tu siku moja nimeona ma apple apo😳
2026-06-30 16:03:45
4
angelangel5410
angelangel5410 :
Kaka unaweza we nijinias unapatikana wapi🥰🥰🥰🥰
2026-06-30 17:24:52
1
elizabeth.matalum6
Elizabeth Mataluma :
unakipaji sanaaa
2026-06-30 14:02:02
1
To see more videos from user @acleysaladhouse1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About