@al.akhi.naasir7: Replying to @user15870405471074 TOFAUTI KATI ya swala ya mwanaume na swala ya mwanamke

Al Akhi Naasir
Al Akhi Naasir
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 29 June 2026 12:13:31 GMT
249738
30042
1387
4590

Music

Download

Comments

heriethyjames
heriethyjames :
alhamdulillah..nazidi kuipenda na kuielewa dini yetu kadri ninavyofuatilia post zako🤲
2026-06-29 13:54:44
225
shansleiman
hustler :
nilikuw nakimu jamni. na mm mwanamke meelimika leo alhamdu lillah
2026-06-30 06:15:10
72
.8maimuna
💝Muna💝 :
revert here still naejifunza mambo mengi sijaanza kuswali lakini but seeing this awakens me more asante
2026-06-29 20:27:32
17
user4875130265973
user4875130265978mwatakaje :
shukran sherk
2026-06-30 11:06:07
6
hazaan703
Hazaan💕 :
shukran ustadh naomba utuoneshe kukaa atahiyatu
2026-06-29 17:51:07
51
zizzungombo.2
zizzungombo :
Assalam allekum swara ya alufajil inalaka ngap
2026-06-30 10:18:14
6
user1826706285745nahya
nahyer nahyer🇹🇿🇴🇲 :
assalam aleikum shekhe naomba kufahamu jinsi ya kuswali swala ya msafiri mfano mm nipo nje ya Tanzania kwaajili ya kufanya kazi na ninaswali swala tano lakini katika kuswali kwangu kuna wakati mwingine nachelewesha sala kulingana na kazi ambazo niko nazo sasa naona bora niswali sala ya msafiri je inafaa na nitakuwepo huku ndani ya miaka miwili au zaidi ya hiyo je inawezekana au swala ya msafiri inadumu kwa muda gani na nia yake inakuaje?
2026-06-30 17:48:53
7
mom_nab
Mamu_635 :
Subhannallah mm nilikua nikikim swala 😥😥
2026-07-01 07:24:44
14
dullamusa216
Dullamusa :
Mashallah,wa Jazakallah kheir
2026-06-29 14:26:40
5
fatumamagoja
Fatuma Magoja :
ostaz nisaidie nataka nianze kuswali
2026-07-13 10:32:02
6
user615923519668
Ummy kayowola :
Afwan shukran sn Allah akulipekheri
2026-07-17 06:13:27
3
inda.saidi
Mama Islam Dini :
Allah akulipe ujira mwema kaka..shukran
2026-06-30 06:52:57
14
shabaan_mohammed73
moha :
jazàkallaho khayran
2026-06-30 07:19:09
1
rknyundo
rknyundo :
Shukran
2026-07-01 11:53:25
1
zaujati34
zaujati34 :
nimejifunza mengi kutoka kwako,pamoja na swala ya safari,
2026-06-30 05:21:13
14
uwany_ally
Wany_Ally🥰 :
shukran kaka kwa kutuelimisha.
2026-06-29 13:39:51
6
07mirh
mirha :
Yaa Allah tuongoze waja wako , Allah akulipe
2026-06-30 05:58:41
6
halimapalamba
me MP :
jaman asantee leo nimejifunza kumbe wanawake haturuhusiwi kukim swala mie nikiswali pekeangu nilikuwa nakim swala jaman asantee
2026-06-30 08:24:19
6
user5606139225505
uhty zoer :
jazaka llah khayraa
2026-07-13 12:11:54
2
user2006679186574
user2006679186574 :
allah hakupe umri mref zaid hap dunian
2026-07-16 08:15:18
2
hussein.ally10
Born town flesha :
shukran
2026-06-30 07:30:27
1
kim358bb
abdul kimangale :
Jazaakumullah khairan
2026-07-01 15:05:52
1
user437711747178
💞💕 :
asante saana Allah akuzidishie ilim
2026-06-30 05:46:06
1
user3608135566588
user3608135566588 :
shukran
2026-06-30 07:51:21
1
ridachic799188
🎀farida🎀 :
shukran
2026-06-29 19:27:54
1
To see more videos from user @al.akhi.naasir7, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About