Asante kaka angu wengine wanatutisha sana mtu unamilion 10 anakwambia haitoshi ata kuanza
2026-07-14 20:02:47
66
Chunya_boe1 :
Tunaojua moto wake si tunawaangalia tu😂👍🙌
2026-06-30 15:38:55
72
An🔥 :
Mme wang anatengeneza makarasha karibu boss
2026-07-08 19:00:14
55
Kapate Menauru :
we asahivi una mtaji wa shingapi
2026-06-29 15:20:33
52
Give mbwilo🇹🇿 :
gram 1 ni sh ngapi?
2026-07-10 19:06:09
8
Big one :
Ww uko wapi?
2026-06-29 21:33:46
12
Pabloh OUTFiT :
Napata elim ya bure kupitia wewe Kak Asante San 🙏🏾
2026-06-29 17:22:23
69
Munir Munex :
wameshajenga plant huko
2026-07-01 19:31:29
9
Anita Alex :
Bwana Yesu asifiwe Wapendwa
2026-06-30 07:59:54
35
Bright On :
hayo maji aliyotumia kupembulia udongo kutuonyesha mfano wa dhahabu yana mercury au ni maji ya kawaida?
2026-07-14 09:01:36
9
aunt muu :
hii jiwe vp kaka kunasehem pamechimbwa nikalikuta
2026-07-22 20:35:38
2
mhinanyabange :
hapo ni wapi jamani tuambie tuanze kusogea
2026-07-17 05:33:07
12
The glow society Tz :
Unatoa elimu nzuri sana.Napenda unachokifanya
2026-07-01 08:14:08
12
Attuu-@ :
Kumbe hata kwetu mby kuna madini ila utafit bado😂😂😂😂 nd kitu mekuja kugundua
2026-07-15 20:04:20
13
Rogitz :
which part of Tanzania is this?
ave been to migori in Kenya There are so many Tanzanians working in gold mines
2026-08-15 09:56:17
0
timobest63 :
madini yanavitu vitatu
bahati; hii ni ya msingi sana yani unaweza chimba miaka 10 bila chochote alafu mwingine akachimba mwezi akawa billionea
Mtaji:ni kitu cha msingi mno wazungu huwa wanaenjoy dhahabu kwa sababu wana vifaa coz huwezi jua umbali paka kuufikia mwamba bila kuwa na mtaji
Maarifa :kujua miamba na mbinu za kuifikia hapa sio elimu bali ni maarifa
2026-07-27 12:55:16
2
Ndaa Ng'ongo Makindiu :
nikiwa na m 3 naweza kufanya Nini na nikaipata faida
2026-07-18 23:23:19
3
user2007034234933 :
wapi hapo
2026-07-19 22:41:31
0
yohana k msukuma Tz 🇹🇿💯 :
mahitaji namba yako br nahitaji sana sehem ya kuchimba ninahasila san ya kuwa mchama tumechoka kuajiliwa br
2026-07-15 17:16:31
1
The girl❤️ :
NIAJIRINI JAMANIII🥰 NIKO DAR
2026-07-15 12:51:11
4
abbass hussein :
kuna mtu aliniambia kwenye kuanza kuchimba madin MIL300 ni hela ndogo tulibishana Zaid ya masaa3
2026-07-21 10:11:09
0
Desmond Danda :
hapo ni wapi nije
2026-07-03 19:24:44
1
mushi :
Mzamo mmoja ni sawa na au chepe?
2026-07-09 22:06:21
4
MrJ :
Mmmmh!
2026-07-09 18:19:57
1
To see more videos from user @vdashmining, please go to the Tikwm
homepage.