@ibraah_food_suplement: Vidonda vya tumbo vinaweza kuathiri maisha yako ya kila siku. Usipuuzie dalili kama maumivu ya tumbo, kiungulia cha mara kwa mara au kichefuchefu. Chukua hatua mapema kwa afya bora. #ibraahmindset🧠 #VidondaVyaTumbo #AfyaYaTumbo #AfyaKwanza#tanzania🇹🇿