so nikumaanisha toyota na lexas nimoja too so hiyo logo ndo inauzwaa bei gali
2026-07-01 06:26:46
1
Machinga_FX.. :
lexus ,,, toyota new model.......🤑🤑🫡🫡
2026-06-30 21:25:03
1
chau magari :
thanks for education 🙏
2026-06-30 12:01:08
2
Mwami_ :
lexus🥶
2026-06-30 08:15:45
2
Cool_Moment :
heshima kwa toyota🙌
2026-06-29 19:29:10
5
Omar Awadh :
ebwana ee nilekukubali hiyo gari tuliiona mwaka 1994 mimi na wenzangu tuliishngaa sana na hatkujua ni gari gani tulijiuliza maswali mingi sana hivi hii gari ni ya wapi
2026-06-30 21:05:15
1
Upepo360 :
kumbe iko pamoja na toyota
2026-06-30 13:47:03
2
king.smile🤴 :
2026-06-29 20:50:51
1
Mr kante💥 :
lexus🔥
2026-06-29 14:58:41
1
sAiDy mLiMbiLa :
nakubaliii
2026-06-29 15:06:16
3
Gremmioh :
hiii gari kwenye video na picha inaonekan kua ya kawaida sana Guys ila ukiiona kwa machooo ni nzurrr kichiz hata lc300 inazidiwa kidg
2026-06-29 16:20:11
7
Goodboy jonas :
bro unaweza
2026-06-29 20:22:12
1
wagwan mr :
ford
2026-06-30 11:55:12
1
assaaiyin :
bro mjerumani hawezi shituka ni fundiii
2026-06-30 05:44:31
2
Emmanuel Yeri. :
more information about this Lexus please. hii ni cc ngapi engine yake?
2026-06-30 06:29:50
2
mere MBM :
thank u
2026-06-29 20:41:28
1
UNCLE G :
asa brother kamamala yakwanza Ili kua Toyoda asmbon saiz Toyota au ime kuajekuaje
2026-06-29 13:18:33
1
Delasanshe :
Unaelezea vizr lkn unaongea sana bro em jaribu kua unaenda strait kwenye point maana unarudia rudia sana maeneno yale yale
2026-06-29 15:26:54
2
👑 King Diesel 98 🇹🇿 :
maelekezo yamenyoooka sanaa ila ungekuw unatupa soma na magariii mengine Kam bmw, Benz, scania, Volvo,fuso n.k sio ya Toyota tuuu
ni ushauri tuu
2026-06-30 05:45:12
2
Changarawe Tz🇹🇿 :
🥰🥰🥰
2026-06-30 09:23:46
1
To see more videos from user @cruiser__4wd, please go to the Tikwm
homepage.