@radiomariatanzania: "KATIKA MAISHA MTU AKIPANDA CHUKI ATAVUNA CHUKI, AKIPANDA FURAHA ATAVUNA FURAHA, NDIO KANUNI YA KAWAIDA KABISA YA MAISHA" - Mafundisho ya Padre John Bosco - Paroko Msaidizi wa Parokia ya Pande Msakuzi, Jimbo Kuu la Dar es Salaam katika kipindi maalum ndani ya Siku Tatu Kuu za Kilele cha Kampeni ya Mariathon 2026 Upendo ni ushindi leo ikiwa ni siku ya kwanza. Je wajua unaweza kusikiliza Radio Maria Tanzania kupitia Radio Maria Play App popote ulipo kwa kutumia Bando kidogo tu...? Ndio ni rahisi sana, Pakua App kwa kubofya hapa kwa watumiaji wa Android: https://www.rmplay.org/download_App Na kwa watumiaje wa Iphone: https://apps.apple.com/app/id848153139 Furahia Radio Maria popote ulipo. www.radiomaria.co.tz #mariathon2026 #upendoniushindi