Nlijua n Mimi tu peke yangu Kumbe tuko wengi tunaowahurumia watu ambapo mwishoe tunaambulia maumivu makali mno 😭 Nina mengi sana kifuan mwangu Acha nimwachie Mungu 🙏🏾
2026-06-29 18:10:58
143
winfridacharlz :
itakuwa group A+ aiseee kwenye mapenzi tunanyooshwa 🙌🙌🙌
2026-06-30 08:21:14
29
madam C.E.O :
hayajakukuta kipenz wala mungu hata husika kupunguza yakikukuta utapunguza mwenywe🥺 ni swala la muda
2026-06-30 05:29:32
23
Angel🥰 :
uko wapi nije nikutumie kabla hujapunguziwa 😂😂,
anyways ngoja nikusaidie kidogo dear stranger ❤️Huruma ni sifa nzuri na ya thamani, lakini inapokosa mipaka inaweza kuwa chanzo cha maumivu na uchovu. Ni muhimu kukumbuka kwamba kuwajali wengine hakumaanishi kujisahau au kujiumiza. Jifunze kuweka mipaka na kusema "hapana" pale inapobidi, kwa sababu mahitaji yako pia yana umuhimu sawa na ya wengine. Si kila anayehitaji msaada atathamini au kutumia msaada wako vizuri, hivyo ni sawa kuchagua jinsi na kiwango cha kusaidia bila kujihisi mwenye hatia. Huruma ya kweli huanza kwa kujijali wewe mwenyewe; unapolinda amani yako ya moyo na afya yako ya akili, unakuwa na uwezo wa kuwasaidia wengine kwa njia yenye afya, busara na ya kudumu. Kumbuka, huruma ni nguvu, lakini inapopitiliza bila mipaka inaweza kukugeukia na kuwa adhabu badala ya baraka ❤️
2026-06-30 10:23:22
10
زوجة❤️ :
Anipungizie na me me sio wakumtumia rafkiang 50k akasuke 🥺
2026-06-30 11:52:13
1
bee🐝❤️ :
Mimi anipunguzie huu ukimya na uoga jamani🥺
2026-06-30 10:45:33
9
hellena_abel_abel :
Nikajua Niko pekeangu kumbe tupo wengi
2026-06-30 04:10:06
6
Ms.Cattie08 ♌️ :
Huyu mimi kabsaa 🙌🥹🥹🥹
2026-06-29 16:04:24
8
👑 Queen❤️💚💛 :
nilidhani Niko pekee yangu eeeiiiii 🤦😭🙌
2026-06-30 12:31:27
1
Vee J ❤️ :
mimi.pia
2026-06-30 10:29:50
2
beatrice_alfred10 :
Same thing here
2026-06-30 07:27:22
1
phiner@junior :
aki hii ni yangu
2026-06-30 10:52:40
2
Angie kab 💫 :
Tupo wangi mwenetu🥺
2026-06-30 09:51:16
1
fReE sOuL _🍫🍭🤎 :
Pray for me my love 😩
2026-06-30 12:55:28
1
💕Hyacintha🦋💦 :
God as a Virgo I'm tired🥺
2026-06-30 11:24:02
0
valentine food point❤ :
naibeba kama ilivyo huyu n Mimi 🥰
2026-06-30 11:25:44
2
🦋Wairimu🦋 :
Walai 💔💔
2026-06-30 11:01:23
1
user20682486744090 :
mungu inatosha sas mungu
2026-06-30 10:23:46
1
◦•●◉✿𝓞𝓟𝓲𝓮 𝓪𝔂𝓸✿◉●•◦ :
yaan kama mimi😢🙌
2026-06-30 04:44:09
1
To see more videos from user @amj.e.s.s.i.e, please go to the Tikwm
homepage.