Kuna huyo mmoja nahic kanivuna nashindwa mwenzenu nashindwa kabisaa ht siwez kumpenda mtu mwingine tena muda wote namuwaza yy tu nimeshindwa nimeshindwa🙌anatabia mbaya balaa lkn ndo hivyo🥺
2026-06-30 02:09:58
45
Luna Queen :
hii ni kweli huwa najiuliza why simsahau mwaka wa tatu saii na tayari amesha oa mtu mwengine. nikikaa na kufikilia nikitugani amenifanyia cha samani haswa sioni naona maumivu tu yenyealikuwa akinipatia. why simsahau nikahis ameniroga kumbe amevuna energy yangu sikuwa najua Dada shukran
2026-06-29 17:28:09
31
hunaina :
usiombe ukutane na mtu mwenye nyota ya scopio jmn uwiii i takes time to move on
2026-06-29 21:53:42
27
Fr. Paul D. :
Dada uko serious sanaaaa😁
2026-06-29 19:52:08
14
shamsa :
Mimi ilitokea iyo acha duu
2026-06-29 22:23:20
13
Michael255 :
unaakili kubwaaaaa sana
2026-06-29 16:49:09
13
Debbie unique :
Sure Kabisaaah 🙏💯🫡
2026-06-29 22:20:16
8
Ondrno :
mimi nampenda huyu ana dacts
2026-06-29 20:57:21
8
smart boy 06 :
hio ni hisia ya kweli true love unaonaje wewe ukiwa na nguvu ya kupoteza riziki yake
2026-06-29 15:22:27
7
Zaka D :
mwanetu kimekuramba nn?
2026-06-30 14:48:30
7
MISS E💞 :
kabisa dada ni kweli
2026-06-29 20:43:03
6
power of god :
umetoa siri tukonao siku nyingi ni full fact my sister
2026-07-02 16:58:03
5
Okavango entreprises ltd :
can you marry me?
2026-06-29 15:58:07
5
frolha ntumo :
kwahyo tufanyaje
2026-06-30 19:07:34
4
Benjamin Bugalama :
ulianza vizuri nikajua unajua ,,,ila inaonekana huwa unasikia tu,
2026-06-30 01:16:41
4
awa phiri :
je.ukitumia.kinga
2026-06-30 12:18:49
4
Ibra :
anavuna vunaje hivi 🤔🫣
2026-06-30 05:57:05
3
Adam Adam :
nenda kwenye pwent
2026-06-29 19:28:52
3
DSquire :
Nakubaliana nawewe dada ila yule kaka wa kihaya popote ulipo mungu akulaani kwa ulichonifanyia najua anajua ukweli wote...
2026-06-30 13:20:25
3
joan kyaka :
mimi nimekishika 😅😅 Toba
2026-07-01 10:59:19
3
Mjukuu wa Ndwata :
Dada umeongea ukweli kinoma noma
2026-07-01 18:06:51
3
Janielux 🤎 :
yaaninmimi mungu aninusuru haijawai kunitokea nanhaitatokea
2026-06-30 06:06:41
3
salmahussein451 :
ni kweli dada hayo unayoongea ni kweli kabisa yamenikuta😭
2026-07-02 19:39:40
3
nasoro alii :
Leo umeongea pwenti mpaka nimekupenda
2026-06-29 23:26:08
2
zasco 💚 :
you're very intelligent, love you sister
2026-07-02 19:59:27
2
To see more videos from user @rosezegega, please go to the Tikwm
homepage.