@nayrat29: Tunaomba tushirikiane ndugu zangu, kila mmoja atoavyo kwa kadri ya alichobarikiwa na Mwenyezi Mungu ili kukamilisha ujenzi wa nyumba hii ya ibada itakayotumika kumtukuza na kumuabudu Allah. Usijione huna cha kutoa—toa kile ulichoguswa nacho kwa moyo wa ikhlasi. Hakika malipo yako yapo kwa Mwenyezi Mungu, na hakuna sadaka inayopotea bure. Kumbuka, mwanadamu anapofariki matendo yake hukatika isipokuwa matatu: sadaka endelevu (sadaqa jariyah), elimu yenye manufaa, na mtoto mwema anayemuombea dua. Tumepata fursa hii ya sadaka jariyah tuchangie ili tupate manufaa ata baada ya kufa kwetu Karibu tushirikiane katika jambo hili la kheri. Share na kwawengine tuweze kushirikian sote katika fursa hii adwimu @Al-islamic fondesion @Muslim girls connect🧕🏾🇹🇿 @HIJAB GIRLS KILIMANJARO🧕 @HIJAB SISTERS HUB @Hijab Sisters Tanga🧕🌸 @Hijab talks 🎤🧕 @banatul khayr(noor ul imaan)