so painful as am also an orphan. I lost my dearest mom last year. she was my best friend my advicer my financial manager. I have lost my diamond but thanks to Allah I know she is at Peace. I pray to those who lost their parents. Ameeen
2026-06-30 07:47:54
2
Binti kambi :
lnauma sana kaka Mimi Sina hata Mmoja tumeteseka sana uyatima siyo mzuri bro waambie ukweli
2026-06-30 05:35:14
105
leah singo :
mungu tupe afya njema mm na wazaziwangu wote
2026-06-30 09:28:50
65
Bk... master :
kama mungu amekutunzia wazazi wako weka like❤️
2026-06-30 19:21:56
12
Rehema Martni :
mungu walinde sana wazazi wangu marefu🙏🙏
2026-06-30 11:48:44
14
salwa :
Mama nimekukumbuka sana mungu ailaze roho yko pema peponi😭😭😭
2026-06-30 10:08:31
14
njoyce y :
asante mungu kwaku linda wazazi wangu
2026-06-30 03:54:38
59
Choprah🧝♀️🧝♀️🧝♀️ :
Namshukulu mungu wazazi wangu wote wapo hai,🙏🏻🙏🏻namshukulu mungu wazazi wangu wananipenda na mimi nawapenda sanaaaaaa mpaka wanajua,namuomba mungu kila siku wasije kufariki kabla hawajala matunda yao kwangu najitahidi na kupambana sana wasipate shida ndogo ndogo zenye fedheha huku nikiwataftia kikubwa,Ee mungu wajaalie wazazi wangu kila la kheri na mwisho mwema kwetu sote🤲🤲🤲😭😭😭😭😭😭😭😭😭
2026-06-30 16:29:54
9
maombitheboy :
mungu tulindie wazazi wetu
2026-06-30 06:25:49
12
janeth Sambagi :
mm hata sikunyonya hata tone 😌😭😭😭
2026-06-30 03:10:15
11
miss.joseph :
mungu jalia wazazi wangu maisha marefu 💕💕😭
2026-06-30 06:54:56
14
lewizzo🤫 :
mwenyez MUNGU awalinde wazazi wangu
2026-06-30 09:39:59
8
Jomson Joseph :
kaka unachokisema nikweli mungu atusaidie kwakweli
2026-06-30 04:33:14
9
mariam shaksi :
true brother
2026-06-30 04:00:40
1
Manyanya ugali ✅✅ :
fact brother😭😭😭
2026-06-29 16:58:11
2
Sirgody✨ :
daaaah so sad
2026-06-30 04:38:11
1
muhammedmselem :
umeongea ya kweli baba
2026-06-30 16:31:48
8
Diana :
Mungu wape wazaz wang maixh maref nawapend wazaz wang san
2026-06-30 07:28:44
11
ISACK SHAGEMBE :
mungu awape maisha maref wazazi wangu amin
2026-06-30 17:28:25
8
sarah michael :
mungu nilnde wzazi wangu wot wawli
2026-06-30 11:50:35
5
miss magnifique :
mungu anilindiye bazazi bangu hadi Siku wata ifurahiya matunda waliyo ipanda duniyani mungu nibariki mungu wafariji wajane nama yatima amène
2026-06-30 10:29:25
7
MUDI IRIS 110 ❣️ :
eh mungu wajaalie wajaalie wazazi wangu umri mrefu
2026-06-30 08:05:25
7
lucas974 :
brother upew nn aise mungu akubalik sana kwa jumbe zako nzito🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-29 16:34:44
12
To see more videos from user @tambwe71, please go to the Tikwm
homepage.