@bongofive: Huyu hapa mkali wa michano Jos Mtambo akiunguruma kupitia Bongofive ambapo @madeeali , @therealfidq pamoja na Mh Babu Tale walifika kumjulia hali Video Nzima ipo katika Akaunti yetu ya youtube ya Bongofive
Alhamdulillah japo mlinisema vibaya nilivyo post ile video ila lengo lilikuwa wakongwe km yeye waone namna ya kumsaidia arudi kwenye game....big up madee, babu tale n fid Q
2026-06-30 07:40:08
0
Emma Elias :
jamaa mkari sana msairieni
2026-06-30 03:24:57
0
TEAMGOLD Elambili👣 :
mtambo mwamba
2026-06-29 20:14:53
1
mika :
yupo mbwiiiii
2026-06-29 20:18:38
1
pinofada :
Dah. Saivi ata nyimbo zake akumbuki
2026-06-29 16:34:10
2
BUSHMAN 🐘🐆🦏🦬🦁 :
mwamba mkali sana mpeni sport afike sober mitungi ime mlostisha.
2026-06-29 16:11:32
2
Santa cruzy :
Jose masiala daaa noma sana
2026-06-29 20:11:57
1
Julius Marwa :
nime penda Safi sana
2026-06-29 16:23:38
1
K pizzo kp :
Mtaalam kabisa
2026-06-30 05:16:42
0
Face Tz 🇹🇿 :
hata smartphone hana😳
2026-06-29 20:47:56
1
Y-THOM :
BIG JOS 🔥🔥🔥🔥🔥
2026-06-30 03:14:12
0
MZABWA_STORE :
MUNGU NI MWEMA
2026-06-29 20:55:22
0
BIG Truck Driver :
Heshima kwako Big Joss
2026-06-29 22:15:35
0
89april :
mwamba sana
2026-06-29 20:37:52
0
Emma Elias :
msaidieni
2026-06-30 03:25:09
0
Raphael novat :
siku iyo mchungeni asipige sana mitungi mwamba namkubali sana ila akimaliza shoo mpelekeni sorba namkubali sana.
2026-06-29 21:49:41
1
Ndege Jr. :
Mtambo Pombe ndio tatizo
2026-06-29 20:28:32
1
user5918386175867 :
kama hajakaa sawa
2026-06-30 04:59:27
0
sam hong :
mkali mkalisana yani
2026-06-30 06:11:09
0
B talent...sambaa boy 26 :
mitungi hivii
2026-06-29 16:16:49
0
Chichibella_770 :
oya tuwaeshim wasanii wa zamani awa ninembo kubwa wamechonga balabala ya music jose mtambo ni namba moja kwangu
2026-06-30 03:54:03
0
Mloje Robin :
Ntakuja for jose mtambo
2026-06-30 06:23:00
0
Mshamu :
Roma hakuamin kilichomkuta kwenye mechi za ugenini ila maisha yana siri kubwa sana MUNGU amsaidie jamaa arud sawa
2026-06-30 06:31:51
0
To see more videos from user @bongofive, please go to the Tikwm
homepage.