@heavenisgoall: YESU AKISEMA AMESEMA #holyspiritconnect #innocentmorris #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #tiktokuganda🇺🇬🇺🇬🇺🇬 #tiktoktanzania🇹🇿 #fypp #hscworship #gospel #rohomtakatifu

HEAVEN IS GOAL
HEAVEN IS GOAL
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 30 June 2026 05:00:00 GMT
65145
14931
852
378

Music

Download

Comments

fantyrodgers
fanty :
God have mercy on me
2026-09-18 18:38:04
0
edn7860
@edn😻 :
huyu mtumishi anapatikana wap ananigusa sana mahubiri yake
2026-07-18 08:18:06
30
evelinekavira43
Blavine d'or :
Mtumishi wa Mungu, unahekima za Mungu kiukweli...Mafutayako yananibariki kila ninapo pitiya video zako...Wewe ni mwana wa Mungu aliye Hai,ubarikiwe Baba.Amen
2026-07-21 03:15:13
20
idda4849
Reedah🤍🌺 :
Zabur23:1 Bwana ndiye mchungaji wangu sitapungukiwa na kitu 🙏🏽😊
2026-07-17 18:45:54
35
user84103077813444
Paula elisha :
nimekumic dad mzurii🥰
2026-08-12 18:20:00
1
user4brena463823909961
Heroine (shujaa).🙌🧎‍♀️ :
Pastor barikiwa Sana, Ulinisaindia nikajuwa kufast na kuomba kwa muda mrefu🙏🙏🙏🙏
2026-08-31 02:17:05
0
anthonykiphagio
Anthony Kiphagio :
akisema ndyo asema hakuna w kupinga
2026-07-25 18:15:41
2
anny54919
Anny :
Amen amen Ndiyo ya Yesu ni ndiyo🤲
2026-08-14 20:55:56
2
demwamie
@Demwamie :
Mungu ninayemwamini mimi, Mungu wa yasiyowezekana…. Barikiwa Mtumishi🙏🙏🙏🙏🙏
2026-07-20 16:32:23
1
user92269873792791
hidaya001 :
imekubalika hio aijalishi unapitia mangapi Wala upo kwenye wakati Gani muitee yy alikujua kabla hujazaliwa hawezi kukuacha kama ulivo baraka upate baraka MAOMBII Yako kwamwengine nibarakaa Yako keshoyoko🙏🙏
2026-07-18 21:50:56
3
user35806510098628
user35806510098628 :
Aminaaaaaa baba yangu
2026-07-16 08:07:21
6
nkwamba_bakery
Nkwamba_bakery :
NI MUNGU WA KUAMINIWA... BINADAMU WAMEJAWA NA FULL SUPRISE.
2026-08-03 19:52:59
1
user3908188023426
neema mangasa :
Amem Amen nafurahi kufata mafundisho na weye papa Mungu akubariki
2026-07-17 14:36:44
3
jonasthomas846
jonas :
hakisema amesema habadiliki ila kwa mwanadamu mabadiliko yapo
2026-08-18 15:30:21
2
sophy_thebrand2
SOPHY THE BRAND :
Mungu wangu simama nami leo ata kesho yangu nahi weka kwko Mungu wangu
2026-08-13 17:05:10
1
mr_mahunditz5
mr_mahunditz5 :
huyu mtushi akitoa neno linagusa sana mtumishi..naweza Pata mawasiliano yako
2026-08-24 19:15:48
1
barbiejo33
Aunty wa madoo👯 :
Kumbuka maombi yangu Yesu,,,,ya badilishe maisha yangu 🧎🙏😭
2026-08-27 19:56:17
2
yasinta7629
yasinta :
Amen 🙏 🙏
2026-07-16 08:54:44
1
konje023
konje023 :
AMEN AMEN in Jesus Christ 🙏🙏🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-07-17 21:53:52
1
chancelinemirind8
Chanceline Mirindi :
amennnn 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾
2026-08-14 04:29:07
1
la.famille.de.christ
la famille💫🤩🥰🥰 :
amen Amen
2026-07-21 14:06:14
1
chrisviral.memez
Chris viral :
sifa na UTUKUFU ni kwa YESU KRISTO MKOMBOZI na MFALME pekeeeee 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏☺️
2026-07-18 05:01:18
1
immanuel.kyabalot
Immanuel Kyabaloti :
Amen mtu wa Mungu napokea kwa jina la yesu
2026-07-20 09:41:16
1
nickodemmbembela4
🌐Mtaftaji✍😁🙏🏿🇹🇿 :
🌐AMINA✍😁🙏🏿🇹🇿
2026-07-25 14:39:39
1
user4415026614748
SKY Star :
Mungu ni hinuwe
2026-07-18 17:23:33
1
To see more videos from user @heavenisgoall, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About