Hahahhaahhha ila kweli me niliachwa ,afu nikapata babe mpya ,afu yule wa zamani akanisamehe tukaludiana ,nikasahau kama nilikuw na new love 😂😂😂 Nachoka mimi🙌🙌🔥 ile naona text na namba mpya,( mamaa )ndo nasema eeh kumbeh nilikuwa na new love😂😂 like zangu please❤️❤️😂