@mkolapictures1: Tuchukue fursa hii kuwataka radhi Maboss na matajiri zetu woote kwa namna moja au nyingine imewapa wakati mgumu kwa iki kipindi cha ukimya bila kupost shughuli zenu mtusamehe bure!! 🙏 apa kati kati tulikua bize sana kiasi kwamba takriban kazi nyingi tumefanya hatujazipandisha coz ya bize za back to back!! sisi MKOLA PICTURES tulichagua kupost clip quality picha & saut ko inatulazimu kutopost clip yeyote isiyo na kiwango bora isiyoendana na quality yetu!! naomba kuwahakikishia tu kwamba kila mtu tuliefanya kazi yake lazima iende hewani na followes pamoja na views wetu wote wazitazame TUNAWAPENDA SANA IMANI YETU INASEMA BILA NINYI HAKUNA SISI MTEJA KWETU NI MTU MUHIMU ASIEKUA NA MFANO MUNGU AWABARIKI 🙏🙏 Hili apa jambo la mwanafamilia jambo la mmoja wa director wetu MKOLA PICTURES wakuitwa K 360 sanka na apa ni ukweni walianaza kufagia uwanja kabla hatujaenda ukumbini day 2 Kwa mahitaji ya picha📸 & video🎥: 0656943545

mkolapictures1
mkolapictures1
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 29 June 2026 17:03:16 GMT
35800
1609
21
26

Music

Download

Comments

faudhiayassin0
Cutephau😋🤑 :
pambe tu 🥰🥰
2026-06-30 17:43:21
0
user85744295401791
fei :
2026-06-30 20:36:36
0
munahmbithepeter
Munahpeter🥰 :
NimepenDAA 👌😘
2026-06-30 09:46:15
0
mwamakula96
Mwamakula 💓 :
kazuriiiii kenyewe🥰
2026-07-02 04:06:27
0
nusra4963
Nusra :
pambe
2026-06-30 08:48:02
0
user8114309778309
hanspope paul :
noumaaaaaa
2026-06-30 04:24:06
0
leilamkawa
neilya :
pambe veep
2026-06-30 05:38:38
0
flower.hatun3
Amiirat Al-Jamal 🌹 :
Alooo 👌
2026-06-30 08:39:47
0
reymar7865
reymar :
jina la wimbo jmn
2026-06-30 08:52:04
0
allykinele00
Renny saloon :
kume kucha
2026-06-29 19:15:36
0
missboss134
missboss🌹 :
ivi wanajuaga kama wanarekodiwa ndo wnaangalia na camera kbisa ama?
2026-06-30 10:31:37
0
noviparis0
@novetus0 :
@Neynah❤️❤️mbn dada cmuon
2026-07-17 18:47:40
0
stashaogora
stasha ogora :
😂😂😂
2026-06-30 05:12:47
0
user1620749152356
user1620749152356 :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰
2026-06-29 17:55:26
0
____angelah
Angiesmile🌸💕🌸 :
😍😍😍
2026-06-30 07:35:53
0
aeshi.semwa
Aeshi Semwa :
🥰🥰🥰
2026-06-29 17:11:05
0
natinati1262385468177
@natinati✨💫 :
🥰🥰🥰😁
2026-06-29 18:27:07
0
To see more videos from user @mkolapictures1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About