Nmeanza kutumia savana fibre tokea mwezi wa kwanza mpaka now and sijawahi pata changamoto yoyote ile shida huwa Umeme ukikatika coz hawana power bank Ila after nmenunua power bank nikaunganisha now hata Umeme usipokuwepo naenjoy internet Yao nawapa 10/10
2026-06-30 00:13:08
22
Gadiel_Philip :
Savanna wapo vizuri lakini hoo customer service lazima uteseke
2026-06-30 06:23:58
6
Ramaa Agent Savanna Fiber :
Welcome back Brother Savanna Fiber
2026-06-30 04:05:46
4
kidotty.ceo :
Nafikiri vodacom watabaki kuwa juu
2026-06-30 00:05:36
3
Tech Master 🛠 :
Kama mwana techolojia, Savanna Fiber Approved.
It's better than TTCL at any time (quality of service)
2026-06-30 05:58:36
1
patrick_mindfullness :
FUP je
2026-06-30 04:56:50
1
Mtoto mdogo mwenye pesa nyingi :
niuzie router ya Airtel kiongozi
2026-06-30 03:50:50
5
A B A A h :
TTCl yamot mbps 60 kw 55000
2026-06-29 19:53:28
8
OB :
Mbps za INTERNET ZA UPEPO na hizo za WIRE ni tofat za waya ziko speed sanaa..
2026-06-30 07:31:57
1
Mkoko Comedy :
ko nawapataje
2026-06-29 21:51:23
2
Gekyume Dynasty :
TTCL fiber ndo yenyew
2026-06-29 18:56:22
2
Black_mujusi :
Suala Fair Usage Policy(FUP) kwao limekaaje?
2026-06-29 20:24:57
2
tonyy :
nzur😏😏
2026-06-30 06:19:45
1
Kange mndeme :
je mwanza ipo
2026-06-30 03:18:07
1
ibramohamed86 :
savana wako poa sana
2026-06-30 03:35:54
1
KHAMENEI :
Savanna wapo vzr sana na bei zao ni rafiki kwa mtanzania
2026-06-29 17:53:12
2
@CHAMP :
TTCL👑
2026-06-29 21:39:25
1
Goodluck Joseph_1999 :
this means alot aisee
2026-06-30 06:36:00
1
千ṪƦঔMFALME :
watu wanachanganya (Megabits ler sec) Mbps na (Megabytes per sec) Mb/s. Mbps inatumika na internet providers kuadvertise their internet connection speed, Mb/s inatumika na computer kupima size za data inamaanisha kuna 8 bits kwenye kila byte moja (1 byte). Hivyo 40 Mbps unayolipia ni sawa sawa na kulipia 5 mb/s download speed. Ile speed inayokuwa advertised gawanya kwa 8 ndo download speed unayolipia. 20Mbps = 2.5Mb/s and so on!
2026-06-30 01:23:06
7
SmartSonny :
namimii nataka
2026-06-29 18:36:41
1
realluckytz :
Wamoto sana🔥🔥
2026-06-29 19:47:22
1
john :
vipi iyo savana inapatikana dar tu au mikoa yote..??
2026-06-30 04:50:16
0
Mjatta brown :
Kaka unazinguaaa amini
2026-06-30 01:55:03
1
kareemj :
wako vizuri
2026-06-30 05:10:33
1
Akyoo_255 :
Cheza Game Online Brother
2026-06-29 19:48:15
0
To see more videos from user @adobert, please go to the Tikwm
homepage.