@mzrh_tv: Afya yako ndiyo kipaumbele chetu! Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (MZRH) imejipanga na imedhamiria kukupa huduma bora za kibobezi na kibingwa bila kulazimika kusafiri umbali mrefu. Tuko hapa kukuhudumia kwa viwango vya juu zaidi vya kitaalamu.
Nipende kutoa shukrani zang za dhat kw hospital ya Meta mkoan Mbeya nimefanyiwa C/section hapo nilikuwa na ujauzito wa mapacha watatu madaktar walinifatilia mnoo bila kumsahau doctor Emmanuel Mwalimuli jmn Mung ambariki sana kanisimamia hadi mwisho pamoj na doctor Barak bungo jmn Mbarikiwe mnoo sahv Watot wang wapo vzr wanakuwa vzr mna alama kweny moyo wang ❤️❤️❤️
2026-07-01 13:34:09
8
jaymam :
mama yangu Alifia kweny hicho chumba 😭😭😭
2026-07-21 09:50:03
0
Maren-joh :
Mungu ambariki Dr Kamala , Dr Paul wa hospitali hii walinihudumia vizuri mno🙏🙏🙏
2026-06-30 16:26:01
10
Essie :
mbeya rufaa
madaktari
manesi
yaani wote wako calm na huduma nzuri sanaa
2026-07-01 19:51:39
5
mom vin🥰 :
mungu awabariki doctor LUNEMO, DR.SHUMA kwa kunisimamia opression ya miguu! MUNGU awatunze
2026-06-30 19:10:12
6
user2119796844805 :
Bg up sana Dr.Boaz,am so proud of you. May God bless you with your whole staff mates
2026-07-10 18:31:37
2
Eva Monje :
Barikiwa Dr Mwasambili.
nakumbuka nilifanyiwa opareshen mwaka 2018 kwa usimamizi wako mpaka leo sina shida
2026-06-30 15:16:34
2
mom G :
dr boaz
2026-07-01 15:06:52
2
ally ng'ondya :
best of the best hospital ever MZRH
2026-06-30 18:28:44
2
drbjk :
Hongera sana mtu wa MUNGU Dr Boaz proud of you
2026-07-12 06:31:23
2
tuti mwaki :
hongera sana Dr
2026-06-30 15:45:48
1
user5965186835335 :
Mungu akubariki sana dr mwasambili
2026-07-03 10:25:24
1
mom J :
Madaktari mnafanya kazi nzuri sana, Ila Serikali iangalie kwa upya gharama za matibabu, ziko juu sana jamani, hapo rufaa ukifika tu dirishani ni 20,000/= hii hela kwa mwingine ni mtaji kabisaa wa biashara, Gharama zingepungua kidogo tunaomba sana
2026-07-07 12:51:58
0
Mars😂💯✨ :
Referral Hospital 😊❤
2026-06-30 09:49:00
1
Prince_Venver :
Nice work happening there 👏!
2026-06-29 18:53:26
0
joycemichael01 :
Mungu akubariki sana Dr Boaz
2026-06-30 15:21:47
1
Mr.V.T :
umetisha sana mwaisa
2026-06-30 06:19:15
1
M💕a🦋dam 🌹G🌺 :
Umetisha kakaangu mwasambili❤️
2026-06-30 12:48:48
1
mlashani8 :
Mungu awaalinde madokta wetu mnafanya kazi nzuri sana hapa mbeya
2026-07-05 14:22:56
0
nashy3614 :
home boy, hongereni sana kwa kazi nzuri na ngumu mnayoifanya. Mungu awabariki
2026-07-22 15:45:24
0
Glory to Glory :
This is so great
2026-07-18 15:32:07
0
Haphiness mshigeni :
hongereni sana dactar Boaz nawakumbuk sana pamoja na DK Boniface,nkmungu awawek
2026-07-09 09:14:23
1
Veronika Ezekia :
mwalim wangu jamn kitambo aloooo
2026-07-14 07:25:27
0
Masimbi19 :
Hongera Boaz
2026-07-07 19:23:44
0
Rebby :
waoohh kazini kwetu
hongera sana chief
2026-06-29 19:21:54
0
To see more videos from user @mzrh_tv, please go to the Tikwm
homepage.