naomba kujua je, kama pia kwenye academy certificates Jina langu limekosewa herufi 1, deed poll inaweza nisaidia incase nafanya application za scholarships??
2026-06-30 14:33:32
4
Biticute :
Ahsante nilikuwa nahangaika sana. Barikiwa sana umenisaidia
2026-06-30 07:17:52
3
Six Mbwiga Sanane :
Shukrani kwa Elimu
Napenda kufahamu kwa mtu ambaye ametumia majina tofauti katika Cheti cha Ndoa na la Academic. Je Utaratibu wa kukubali majina yote ni yako ili iendane na Jina la Academic pamoja, NIDA na Jina la kwenye Cheti hicho cha Ndoa?
2026-07-01 07:01:24
1
Mussa Yusuf :
Asante kaka mungu akubaliki
2026-06-29 19:33:08
3
cleopanicholous :
ahsante wakili mwema na mwalimu
2026-06-30 05:47:32
1
mohamedZumbe jr :
Asante sana kiongozi kwa elim hii
2026-07-02 00:27:20
0
mwajuma566 :
Akhasante
2026-06-30 10:51:42
1
shally :
Kusajili nyaraka ni 31,000/=tu
2026-06-30 04:17:36
2
Breezy :
Je hii huingiliana na NIDA?
2026-06-29 20:30:24
1
Robert Balama_Mwagayumbile :
Hapa kuna lile jambo Certificates zina majina mawili( First na Last name) NA NIDA yapo matatu(First , Middle na Last Name) so inabidi niende kwenye huu mchakato?
2026-06-30 14:37:24
1
agro :
nashukuru kwa Elimu
mimi nimefusta procedures zote hizo lakini baada ya kupata hiyo deed poll nikaambiwa niende baraza kuu la mtihani Tanzania hapo inakuaje? (majina yangu ya kwenye vyeti vya shule nilitaka yafanane na ya kwenye cheti cha kuzaliwa)
2026-07-01 11:12:33
0
JAY NELLY :
Ninaomba kujuwa kwa mfano Mimi Nina itwa James nelson kayabu lakini vyeti vyangu vya elimu vinatumia majina mawili ambayo ni James kayabu je hapo ninahitaji kubadili jina au yapo sawa maana katika NIDA yangu inasoma majina matatu JAMES NELSON KAYABU na vyeti vya elimu ni JAMES KAYABU hapo inawezekana kubadili majina au yapo sawa
2026-07-01 10:54:55
1
BABA PAU :
Afadhali umenisaidia
2026-06-30 15:24:16
1
Tighter.. :
ukiwa unatengeneza hyo deed pool hauend na vyeti vingne au kitambulisho kingne?
2026-06-30 09:19:34
1
Johary Kitumba :
naomba namba za simu jamani nina shida hiyo boss
2026-06-30 18:03:47
0
Sau Icon :
Utaratibu wa kubadilisha picha na signature NIDA uko vipi?
2026-06-30 17:43:41
0
my angel :
namkuta wapwakil sasa
2026-08-27 01:10:26
0
𝕸𝖆𝖎𝖌𝖆𝖟 :
@𝕸𝖆𝖎𝖌𝖆𝖟:ukichage kama banks ulitumia majina ya zamani yanabak vile vile hawachange account name