Mlee Mtoto katia njia ipasavyo nae ataiacha Mpk atapokuwa mzee 🙏🙏 Hongera
2026-06-30 06:07:21
36
Emmanuel kipanya :
Haya ndiyo malezi sasa siyo wale wapuuzi wanaishia kujipost mitandaoni kama vichwa vyao ni pakacha,Hongera sana mwanetu kwa kumpata mwalimu bora wa watoto.
2026-06-30 05:01:38
16
Maryanne Munyao :
wooow these good teachings too may the almight God bless u abundantly🙏🙏
2026-06-30 17:05:00
2
annjames2541 :
maujaji wa matumaini
2026-06-30 19:37:32
5
faustar :
amen watt wazuri🙏🏻🙏🏻
2026-06-30 04:40:21
2
poison killer :
Haya ndiyo ndiyo malezi bora kwa watoto wetu mitandaoni
Hongereni Sana wazazi wa watoto hawaMungu awabariki kwa malezi bora
2026-06-30 08:25:08
15
PatieRehema :
Ameen God protect you🙏🙏❤️
2026-06-30 06:45:11
0
Violety Swetu :
safiiiiiii,wajukuu wa MT.RITA 🙏🥰waoooo
2026-06-30 04:21:08
9
BarakaANTHONIO :
makofii mengiiiiiiiii🥰😜😇😇🤣
2026-06-30 07:38:48
1
elizabetiulotus :
Hongereni sana watoto wazuri🥰
2026-06-30 04:56:29
6
Angel🌸🦋 :
wow ongera sana nawapenda watoto wazur jmn
2026-06-30 06:29:50
1
suzana mondi :
Amina😏 watoto wangu Mungu awabaliki🥰🥰
2026-06-30 08:48:48
0
larap :
Mpaka raha ongereni Na Mungu awabariki mkawe Kichwa na si mkia 🥰🙏
2026-06-30 06:19:09
0
fey :
waooooooooooooooò
2026-06-30 11:44:25
0
Teddy :
kwanzia leo mm Ni rafk yen saw
2026-06-30 13:19:02
1
@ Scolar,,, :
PMC kids God bless you
2026-06-30 15:08:41
2
MGIMBA :
Safi sana,they are full protected.
2026-06-30 04:21:58
1
Muhindo :
May God bless these little ones
2026-06-30 06:22:30
0
Suzy Fussy :
Amina watoto wazuri!
2026-06-30 06:06:12
0
stanley :
ongereni sana watoto wazuri
2026-06-30 04:37:42
2
Mary kibonge :
naukimbilie ulinzi wako.......please mtu anisaidie na hiyo sala....asante 🙏
2026-06-30 20:02:18
1
Ago cute :
naomba uwaandae hawa watoto waendelee na wito wao
2026-06-30 07:11:25
1
Angel julius :
mungu awabariki watoto wazur
2026-06-30 06:10:19
1
TULIA DADA :
hongereni.
2026-06-30 04:17:14
0
John Temba :
Amina watoto wazuri Mungu azidi kuwatunza 👏
2026-06-30 07:37:55
0
To see more videos from user @hurumayamungumedia, please go to the Tikwm
homepage.