usipo msikiliza vizuri utaweza zani kamzalau kaje ila hapo kamkubali.na kumsifia mana alikuwa ajamuelewa.kaje huko zamani ila now kamuelewa.kabisa mana.kamuelewa now off kozi.ata Mimi huko nyuma nilikuwa simuelewi ila nilivyosikia nyimbo ya future ndo nikaanza kumuelewa mchizi mpk Leo mm msanii wangu namba Moja wa singeli kaje now hakuna nyimbo ya kaje nisioijua kusema ukweli richi kama utamsikiliza vizuri utamuelewa kamanisha alikuwa amuelewi ila alivyotoa nyimbo ya WELCOME HIP HOPhip ndo kamuelewa ila ni mtazamo wake
2026-06-29 22:13:40
0
To see more videos from user @singeli.kitaa, please go to the Tikwm
homepage.