@abiir_huwel: Shame is not your identity💯 Aibu Sio Utambulisho Wako 🌱 Mara nyingi mambo tunayoyaona kama "aibu" (kushindwa, kukataliwa, au kuanza upya) ndio haswa yanayotujenga. Usiruhusu hofu au mawazo ya wengine yakuendeshe. Kile unachokificha leo, kesho kinaweza kuwa ushuhuda mzito wa kumvusha mtu mwingine. Ilinde sana amani yako ya akili. 🤍🧠❤️ Share video hii na mtu anayehitaji nguvu ya kuanza upya leo! 🔁 #amani #afyayaakili #ushauri #swahilitiktok #maisha