@truenuru_255: HAMTAFANIKIWA KUTUUA KUPINDI HIKI, WATANGANYIKA SIO WAJINGA REPOST KWA WINGI #TUTAKUWEPO #Tutakuwepo #TutaelewanaTu #fypシ゚viralシfypシ゚viralシalシ #viral_video
Truenuru 255
Region: ZA
Monday 29 June 2026 19:45:56 GMT
Music
Download
Comments
Josujo🥋🏆 :
tunaoamini mungu yupo nasi wakati wa 7-7gonga like
2026-06-30 06:20:45
10
tajiri mwaisa :
77tunatokaaaaaaaa
2026-06-29 20:30:13
125
muebrania powerful💪 :
no pain😥
no gain💪
2026-06-30 06:17:00
1
trucker :
naomba watakao andamana wote liwakute jambo
2026-06-29 21:00:57
107
twinie :
never again hatoki mtu tumechagua umoja na Amani Kwa maendeleo ya taifa letu 🇹🇿
2026-06-30 04:44:25
13
GEM :
huyu mchochezi sana
2026-06-30 04:52:40
5
Lemy Nice :
Mungu tupe nguvu uyu mwanamke anatupeleka mbali na familia zetu
2026-06-29 20:19:28
44
Hish :
afande yuko sahihi kabisa
2026-06-29 21:11:12
50
SAMMY@ :
We andamana mwenyewe boss mm ninakasafari kdg
2026-06-30 01:42:38
21
INNOX :
Salute kaka taaarifa washapata ni maandamano ya amani
2026-06-29 20:54:32
35
Sam kid 🇳🇮🇹🇿 :
Toka kafeee mwenyew 🙌
2026-06-29 20:37:12
31
jay mill :
sisi wala hatutaki kuandamana
2026-06-30 05:33:14
5
Loseku Meng'oru :
Unatoa taarifa wew kama Nani?
2026-06-29 23:54:20
17
Jerry John Komba :
Afande yupo sawa
2026-06-29 20:54:48
42
hashim da prince :
tunatoka
2026-06-29 23:10:39
16
Victor Henry :
ww mchochezi
2026-06-29 20:43:25
21
Bonifesho🇦🇬 :
7/7
2026-06-29 19:49:18
27
Seif Kabelele :
UJUMBE. UMEFIKA
2026-06-29 20:30:51
23
Dotto khamisi :
tunatoka
2026-06-30 04:14:24
6
B's DADDY :
Mungu umekuwa kimya sana juu ya hili 😢
2026-06-29 20:46:39
24
🌴Lulu Prestige Safaris :
Mi Nimechukua Namba ya simu ya Mh😎
2026-06-30 04:09:13
16
Sabah Ali 349 :
Yupo sahihi kamanda
2026-06-30 00:34:28
10
BEFORE M SP :
afande amefit kila engo hongera afande...kwa kazi nzuri sana
2026-06-30 05:07:17
5
Nandu wanzelu :
Mungu bariki Tanzania Wanaoiharibu waharibikiwe wao na vizazi vyao siyo watu wengine wasio na hatia ✍️💯
2026-06-30 03:48:43
8
To see more videos from user @truenuru_255, please go to the Tikwm
homepage.