@user23980183793453: ​"Qoy gözlərinin içinə baxıb desinlər ki, sən heç bir işə yaramırsan. Qoy sənə damğa vursunlar. Qoy sənə böhtan atsınlar. Sən sınmasan, sənə heç nə verməzlər. İmam Hüseyn qəlbi qırıqların imamıdır... Sadəcə o qəlbiqırıq halında ikən 'Ya Hüseyn' deməyin kifayətdir..."

Mürtəza
Mürtəza
Open In TikTok:
Region: AZ
Monday 29 June 2026 19:59:27 GMT
5952
828
0
39

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @user23980183793453, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos

1. Kupotea kwa
1. Kupotea kwa "Malalamiko na Kelele" (Silence of Peace) Mwanaume asiyejua saikolojia ya wanawake hufikiri mwanamke anaponyamaza na kuacha kugombana ndio amekuwa muelewa. Ukweli ni kwamba, mwanamke anapopiga kelele, analalamika, au kusononeka kuhusu jambo fulani, anakuwa bado anapambania uhusiano. Siku akichoka, ananyamaza jumla. Hakanyagi sehemu ulizokosea, hakuulizi kwanini umechelewa, na hakubishii tena. Hiyo si amani, hiyo ni ishara kwamba ameshakuondoa kwenye hatima yake na anajipanga kuondoka kimyakimya. 2. Kuanza "Kukuchukulia Poa" (Taking You for Granted) Hii ni hatua ambayo heshima na thamani yako kama mwanaume inaanza kuyeyuka. Haangalii tena jitihada zako, haoni umuhimu wa mchango wako, na kila unachofanya anakiona ni cha kawaida au hakina uzito. Anatengeneza mazingira ambayo hakuwazi, hashitushwi na uwepo wako, na anaanza kuishi kana kwamba uwepo wako au kutokuwepo kwako hakuathiri maisha yake kwa namna yoyote ile. Hapa anakuwa ameshajenga ukuta wa kihisia (emotional detachment). 3. Kupungua kwa "Ushirikiano wa Ndani" (Zero Investment) Mwanamke akishakuchoka, mazungumzo yenu yanajaa majibu ya mkato kama "Sawa", "Poa", au "Yajayo yanafurahisha". Hatoi tena mawazo yake kwenye mipango ya mbeleni, hachangamkii stori zako, na upendo wake unakuwa wa 'kijeshi' (kuhisi analazimika tu kufanya hivyo). Hata ukijaribu kutengeneza mazingira ya ukaribu, unagundua yuko mbali kifikra. Amekataa kushiriki kiakili na kihisia kwenye uhusiano wenu, anasubiri tu sababu au muda sahihi ufike ili kila mtu achukue ustaarabu wake. "Kumbuka: Nafasi yako kwenye moyo wa mtu ina mbadala. Ukiona dalili hizi, usikimbilie kulazimisha upendo, rudi nyuma na utathmini thamani yako." Ushauri: Save ujumbe huu usije kuupoteza, na share kwa "Bro" wako anayepitia wakati mgumu kwenye mahusiano kwa sasa. #MrSituational #mapenzi #upendo #realtalk #relatable

About