@mex.prince: 🚪 Ukipoteza ufunguo wa nyumba… usikurupuke kuugonga mlango kwa bega lako! 😳 Kuna sehemu maalum ambayo ukipiga teke kwa nguvu sahihi… mlango unaweza kuvunjika ⚠️ Video hii ni kwa elimu na maarifa pekee, si kwa matumizi mabaya. #DidYouKnow #LifeHacks #EducationalVideo #LearnOnTikTok #factsdaily