@abroadlinkcompanylimited: Safari yako inaanza hapa. Kutoka Tanzania kwenda duniani kote, tunakuhakikishia ticket sahihi kwa safari yako. 📌 Local 📌 Africa 📌 International 📩 Tuma ujumbe sasa, safari inaanza leo. Hashtags: #TravelLife #FlyAbroad #PassportReady #BoardingPass #TravelGoals
ABROADLINK
Region: TZ
Monday 29 June 2026 23:26:04 GMT
Music
Download
Comments
Baba Rama :
Kwahiyo Dar to Nigeria nauli ipo chini kuliko Dar to Tabora
2026-06-30 09:56:45
169
Hamisa Fresh Juice :
Dar to kimara je😢
2026-06-30 13:03:03
44
dajogan auto :
Nigeria hii hii nayoijua mimi😁
2026-07-01 15:48:21
9
Niwer :
South Africa nikafanye nini???
2026-07-02 03:23:19
17
alphanshabani :
Dar to Bonyokwa
2026-08-18 16:39:27
1
Ridy :
Kwahiyo Nigeria na Dubai, Nigeria ndio gharama zaidi 😂😂😂😂😂😂
2026-08-16 20:11:17
1
Dosho Catarias :
going to South Africa to do what?
2026-06-30 22:03:58
5
Mathias Lyuma :
ebu toa hiyo Dat to south weka Dar to kibaha
2026-06-30 13:01:49
8
SABRINA🍓 :
je Dar to geita shngp
2026-08-17 12:24:41
0
R-DITE GROUP COMPANY LIMITED :
dar to south 850,000/= 😂 me nilienda na kurudi jumlisha sikutano za kukaa hotel na msosi jumla 2,800,000 we unasafiri na nn mzee
2026-06-30 14:57:49
16
Ashiruna 002 :
1,700,000 go and return?
2026-06-30 17:49:41
5
mari_selin :
Dar to Australia?
2026-08-14 16:10:35
1
putralchande :
so nigeria is far than dubai
2026-07-28 09:38:24
3
Leah :
Nigeria nauli ya kwenda mwanza🤣🤣
2026-08-16 05:05:21
0
@hydraulicsadyTz% :
nani aend south africa 😅😅
2026-06-30 07:36:26
10
TANZANIANKIDY :
mi naenda china kila mwezi million 4 tu
2026-08-17 07:22:21
2
nawfal :
nataka ndege bei gani
2026-07-10 13:34:43
3
I'm fun_sized ❣️✍️ :
Nafata Nini huko nahio pesa yamtaji?😳
2026-07-09 09:59:37
0
Linah 🦋🦋🍎 :
apo kweny Nigeria gys kumbe nauli chea hv😅😅😅
2026-08-15 23:51:10
1
Next Fashion Brand Tz :
dar es salaam to Sweden jee ? na mna ofisi wapi kwa dar es salaam?
shukran
2026-07-04 05:36:05
4
Mad max💀☠️🏴☠️ :
alafu Dubai nikafanye nn
2026-07-09 18:24:41
1
Queen Ryee💞💫 :
Iam going south Africa to see Jonas🥰
2026-07-09 09:40:37
1
Bruno Vin Dallar’s :
Hii bei ya go and return?
2026-06-30 10:45:43
0
Pesa ipo bank :
dar to mbinguni how much?
2026-07-09 05:55:47
0
Gracemasolele :
Dar to U.S.A
2026-07-09 12:48:17
0
To see more videos from user @abroadlinkcompanylimited, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.